FactMkuu hii Mambo ya Mafanikio na biashara bila moteo uwanjani........ Tumeshai jadiri Sana humu ndani.........
Hata wamiliki wa city sio wajinga,
City timu ikiendela na Moto huu watakuja kufanya Sana biashara mbeleni,....
Utd ikiendelea na mkwamo huu bishara zitayumba Sana mbeleni....
Kwa man u ,city kweli hataweza kuipindua kwenye upande wa mashabiki. Ni ngumu hususan pale England...Ni kweli Man akiendelea kuzingua atashindwa kuvutia mashabiki wapya
Lakini usitegemee City kuwa dominant kiasi cha timu nyingine kupotezwa kabisa
Hata world wide, sio miaka 5 TU....... Utd Ina zaidi ya fans 60million china peke yake........Kwa man u ,city kweli hataweza kuipindua kwenye upande wa mashabiki. Ni ngumu hususan pale England...
World wide it will take more than 5 years kukaribia.
View attachment 1096616View attachment 1096617View attachment 1096618
Ooh its not emptyhad any longer.
Yani average kuanzia 2013-2018 city ana attendance kubwa kumzidi liverpool na chelsea
Surely.Hata world wide, sio miaka 5 TU....... Utd Ina zaidi ya fans 60million china peke yake........
View attachment 1096616View attachment 1096617View attachment 1096618
Ooh its not emptyhad any longer.
Yani average kuanzia 2013-2018 city ana attendance kubwa kumzidi liverpool na chelsea
Ni wachezajiHivi ni Ole au ni wachezaji? Maana sielewi hii timu.
+ Lucas Mouratuombe iwe hivyo na si kinyume.
son + eriksen + maddison + harry kane = mamaaaaa nakufaaaa.
4-2-3-1 ya ukweli halafu upande wa pili anayewania nafasi ya nne timu yake inaundwa na lingard, martial and rashford.
Kuna mmoja hapo umemsahau ambaye Mimi namuona bora sana pale Tottenham.tuombe iwe hivyo na si kinyume.
son + eriksen + maddison + harry kane = mamaaaaa nakufaaaa.
4-2-3-1 ya ukweli halafu upande wa pili anayewania nafasi ya nne timu yake inaundwa na lingard, martial and rashford.
Hawa Tottenham work rate yao ni hatari sana. Wakimwamlia mtu ni kama wamefungwa engine za jet+ Lucas Moura
zimebaki siku mbili kabla dirisha la usajili kufunguliwa ligi kuu England. United bado haina head of recruitment.
wakati huo huo ED Woodward kuna kipindi alikaririwa akisema hatafanya makosa aliyofanya kwa Sanchez, ila bado anarudia yale yale naweza sema anakula matapishi yake kwa huyu Pogba. Kuna vyanzo vinasema Solskjaer amemwambia mtendaji mkuu wa United kama Pogba anataka kwenda amuache aende lakini yeye anamuangalia Pogba kwenye mambo ya biashara na anataka kumuongezea mkataba hili ni KOSA alilosema hatalirudia.
wakati huo huo, wachezaji wa United wamepewa likizo mpaka july na kocha amewaambia kila mtu achukue kila kitu chake wasiache hata kimoja kwa maana baadhi ya wachezaji hawatarudi tena pale AON complex.
Naam.Linapokuja suala la Wachezaji wa Kiengereza hapa Kwa Man United na Liverpool basi ushauri wa pekee kwenye Bench lenu la ufundi basi asiwepo Muengereza hata mmoja ndiyo mutafanikiwa...
Lakini kosa la kuweka Malengend kina OGS, Rio au Legend wenu yeyote basi mutalia kama tulivyolia sisi.
Nakumbuka kipindi kidogo tu alichokaa Hodgson na Dalglish kwenye timu yetu basi yalitukuta ya waingereza karibia wore kwenye kikosi. (Carragher, Flanagan, Johnson, Charlie Adam, Henderson, Downing, Carroll, Lambart, Gerrard, Sturridge, Wisdom, Ibe, n.k.
Hawa makocha Malegend au Wenye asili ya GB wanashida sana hata kana ni Legend.
Na ndiyomana naomba kila Siku Gerrard asijekuwa kocha wa Liverpool