Lakini si kuna FFP mkuu?au nayo huna imani nayo?Tulikuwa Vizuri lakini tumekutana na timu iliyoviziri zaidi yetu, ni Si rahisi kushinda EPL ahead of City hata Msimu mjao.
Kwani Anaweza Akatupa £200m nyengine kwenye Next Window jambo ambalo Liverpool hatuwezi kufanya kwa Just one Window.
Kwasasa Hakuna Mwenye uwezo wa Kushindana na Oil Money
Kwa upande wangu Siamini katika hili,mkuu ila naamini katika jicho la pep la kuona wachezaji wazuri wenye vipaji na wapambanaji......kwani city ametuacha mbali sana katika ubora wa kikosi...Ni Chelsea tu ndiye aliyekutwa na Hatia kwasababu Boss wake ni Russian hated by all Europeans including UK.
Lakini Man City na PSG wanaendelea Kupeta na kila Siku chunguzi zao Zinafeli.
He is great coach but hao wachezaji wazuri bila fedha huwezi kuwapataKwa upande wangu Siamini katika hili,mkuu ila naamini katika jicho la pep la kuona wachezaji wazuri wenye vipaji na wapambanaji......kwani city ametuacha mbali sana katika ubora wa kikosi...
Hamna mchezaji wa Bei kubwa ambayo City inaweza kumnunua Liver,utd, arsenal na Chelsea washindwe...... Ni utashi tu, na Sera za Matumizi kwenye hizo timu husika...........He is great coach but hao wachezaji wazuri bila fedha huwezi kuwapata
Heko mkuu,Hamna mchezaji wa Bei kubwa ambayo City inaweza kumnunua Liver,utd, arsenal na Chelsea washindwe...... Ni utashi tu, na Sera za Matumizi kwenye hizo timu husika...........
Pia kununua wachezaji ghari sio ndio kufanikiwa,
Bali mahitaji harisi kwenye kikosi chako,uwezo wa kuona uwezo/vipaji vya wachezaji,na kusimia kutengeneza muunganiko wa timu....
Pep kwakweli amedhihirisha Ni mwamba kwenye hili
History is there, and you can't ignore its importanceTalking about history. Even the late Mubutu was once the president of Zaire
tuombe iwe hivyo na si kinyume.
son + eriksen + maddison + harry kane = mamaaaaa nakufaaaa.
4-2-3-1 ya ukweli halafu upande wa pili anayewania nafasi ya nne timu yake inaundwa na lingard, martial and rashford.
Tatizo sio pesa mkuu.Heko mkuu,
Kama united wamemudu kununua pogba na wengineo wanashindwa kununua gundogan,sane,jesus,laporte n.k
Pep ni fundi sana,...yule gundogan amemsajiri akiwa anatembelea magongo
Man City wana structure ambayo ni very favourable kwa kocha yeyote kufanya kazi yake vizuri ukilinganisha na competitors (Liverpool,United,Arsenal,Chelsea )wenzake kuanzia owner Sheikh Mansour + Soriano na Txiki bila hawa Pep asingefundisha CityHamna mchezaji wa Bei kubwa ambayo City inaweza kumnunua Liver,utd, arsenal na Chelsea washindwe...... Ni utashi tu, na Sera za Matumizi kwenye hizo timu husika...........
Pia kununua wachezaji ghari sio ndio kufanikiwa,
Bali mahitaji harisi kwenye kikosi chako,uwezo wa kuona uwezo/vipaji vya wachezaji,na kusimia kutengeneza muunganiko wa timu....
Pep kwakweli amedhihirisha Ni mwamba kwenye hili
For city give them just 5 years.History is there, and you can't ignore its importance
That's why despite of bad results in recent years, United is still the club with biggest fan base in the world
That's why Championship club Aston Villa is much big club compared to premier league club Brighton&Hove
That's why despite of the recent results City are enjoying, they still can't fill Empty-had stadium which has the capacity of accommodating 30,000+ plus fans (not even a half of Old Trafford capacity)
That's why this is going to be my last argument with you talking about a team with no history (sorry, it has history which start with oil money)
Na kwa % kubwa anapatia...............Tatizo sio pesa mkuu.
Tatizo pep anajua anachokitakaa
Aya mambo yanashangazaga sana wakat mwingine.Na kwa % kubwa anapatia...............
Are you sure within 5 years City is going to win 15 EPL Titles, 7 FA cups, 4 European trophies, 1 club world cup..... Because that is how big the deficit is compared to United. Hapo sijataja makombe mengine madogomadogoFor city give them just 5 years.
They'll meet u.
Mkuu hii Mambo ya Mafanikio na biashara bila motokeo uwanjani........ Tumeshai jadiri Sana humu ndani.........Man City wana structure ambayo ni very favourable kwa kocha yeyote kufanya kazi yake vizuri ukilinganisha na competitors (Liverpool,United,Arsenal,Chelsea )wenzake kuanzia owner Sheikh Mansour + Soriano na Txiki bila hawa Pep asingefundisha City
PSG wana owner kama City lakini wanastuggle kufanikiwa ulaya sababu hawana competent people (like Txiki & Soriano) kwenye management yao
Owner kutoka US priority yao ya kwanza ni faida nje ya uwanja ni rahisi Woodward ku-approve kununua wachezaji kama Bastian,Di Maria,Depay,Zlatan,Pogba,Sanchez kwa sababu kashafanya mahesabu yake timu itauza sana jezi
Kwa makombe ni kweli mpo mbali.Are you sure within 5 years City is going to win 15 EPL Titles, 7 FA cups, 4 European trophies, 1 club world cup..... Because that is how big the deficit is compared to United. Hapo sijataja makombe mengine madogomadogo
Kwa akili ya kawaida huoni mashabiki wa United kutaka kwao City washinde kombe kuliko Liverpool ni ishara kwamba City is just small organism
Isitoshe sioni City ikipata mafanikio kwa kasi ya kiasi cha sasa bila Pep. Swali, je Pep ataendelea kuwepo City kwa miaka yote hiyo
Ni kweli Man akiendelea kuzingua atashindwa kuvutia mashabiki wapyaKwa makombe ni kweli mpo mbali.
Tatizo linakuja kwamba watu wanapoanza kushabikia mpira hawaangalii historia ya mbali huko.
Wanatazama kwa sasa jinsi timu inavyokwenda,ushindi,aina ya mpira, na mbaya zaidi madogo wanatekwa sana kwenye izi PES.
Pep kuondoka sio msimu ujao wala wa kesho kutwa. Yeye alisema anajisikia vizuri akiwa city kuliko club nyingine yoyote aliyowahi.
Ila mm nakuhakikishia kama man u akiendelea kuboronga hivi anadumaa na washabiki walewale.
That's sureNi kweli Man akiendelea kuzingua atashindwa kuvutia mashabiki wapya
Lakini usitegemee City kuwa dominant kiasi cha timu nyingine kupotezwa kabisa