Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Umemsahau Louis Nani.
 
Hali inayotukuta man utd ni kama iliyowakuta liver kwa kumuita yule striker wao Mungu, toka mechi ya arsenal ile kauli ya kusema Mungu tusikusumbue arsenal wapo ndani ya uwezo wetu imetutia nux, toka hapo tukaanza kusua sua sana.

anyway tunachotakiwa kufanya sasa ni kutimua waingereza wote utd wakabaki rashford, lingard na shaw, tuanzie hapo kwanza.
 
tuseme juventus wamechanganyikiwa na kipigo cha AJAX mpaka leo?

Italian sources claim Manchester United and Juventus are prepared to make a swap deal involving Alexis Sanchez and Paulo Dybala.
Hizi rumours zingekuwa kweli Zidane angekuwa kocha wa United,kina Bale,Varane wangekuwa wachezaji wa United

Since CR7 amekuja Dybala anapigwa benchi,Juventus wameamua kumuuza Dybala ni bora wapate £80m-£120m kuliko aendelee kukaa benchi
 
kuondoka kwa sanchez pengine na paul pogba kutamlazimu sheikh ed woodward atafute mchezaji mwengine atakayekuwa na nguvu ya ushawishi kwenye biashara za klabu, sishangai kuona tetesi za dyabala zimekithiri kipindi hiki.
ni matumaini yangu hatutakimbilia kwa gareth bale.
 
Umenena vyema mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…