Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuvunja mkataba wa OGS ungekua unavunjika kirahis, bas wake ungevunjwa mapema sana
Kwenye psychology Kuna principle inaitwa "Consistency"

Kuna wakati hata wewe, hata mimi huwa tunafanya maamuzi ya hovyo lakini ili tuoneshe/tuonekane tulifanya maamuzi sahihi, tunaendelea nayo japo tuna ugulia maumivu

Kupitia hii principle Ed hawezi kumfukuza OGS kirahisi, na safari hii akimfukuza, yeye anaweza kuonekana pia ni tatizo, na yeye atafukuzwa
 
Ole naye ni kama hajui analolifanya..

Tuzoee tu maumivu next season

Mimi nilisema mtu anayeweka matumaini kwa Ole ana mtindio wa ubongo, Ole huyu huyu aongoze wordclass football club kama Man u kweli, hata kama akipewa billion moja still hataifikisha popote timu, hana mbinu..Mafanikio yake yatakuwa kuchukua FA, Capital na kuingia top 4,...
 
wasiojuwa mpira hii habari watajifanya hawaioni.
LCFC's James Maddison was the only player to create 100 goalscoring chances in the Premier League this season & was the first English player to create 100+ in a single Premier League campaign since Leighton Baines in 2012-13 (116).
 

Tulikuwa Vizuri lakini tumekutana na timu iliyoviziri zaidi yetu, ni Si rahisi kushinda EPL ahead of City hata Msimu mjao.

Kwani Anaweza Akatupa £200m nyengine kwenye Next Window jambo ambalo Liverpool hatuwezi kufanya kwa Just one Window.

Kwasasa Hakuna Mwenye uwezo wa Kushindana na Oil Money
 
Eti mpaka mechi ya mwisho ambayo haina impact yoyote kwenye league table ameendelea kuwachezesha akina young na smalling badala ya kuwachezesha makinda ya academy matupu jana.
 
FFP rules zikiwa fully applied, oil money haitosaidia kitu. Tatizo UEFA ipo corrupt!
 
Madison huwa namkubali sana,sidhani kama msimu ujao ataendelea kuwepo leicester,dogo anajua sana. Lakini unashangaa leicester wana huyu dogo halafu sisi tunae lingard. Kweli tumepatikana.
 
Ni Chelsea tu ndiye aliyekutwa na Hatia kwasababu Boss wake ni Russian hated by all Europeans including UK.

Lakini Man City na PSG wanaendelea Kupeta na kila Siku chunguzi zao Zinafeli.
Man city na PSG wamepeta kwa msaada wa UEFA (infantino amehusika). Juzi kati hapo ishu zimevuja na wamedai kuwa watafanya tena uchunguzi.

Wanachofanya hwa jamaa ni ku overprice deals zao ili ku cover deficit. Na hii issue wamefundishwa na UEFA wenyewe.
 
Huyu wa kumreplace Lingard kabisa pale Man u
 
upo sahihi yule mzee hakumtendea haki kabisa, jonny evans hata kama amezungukwa na maadui watatu humkuti akibutua mipira ovyo.
ndio maana msimu uliopita guardiola alimuhitaji sana lakini dau lilikuwa kubwa ukilingansha na umri wa johnny evans
LVG aliuza Hernandez, RVP, Falcao loan ilivyoisha akapiga chini, badala yake akamtegemea big Fella as a pin striker.

alienda hovyo kwenye baadhi ya maamuzi yake
Rafael
Kagawa
Di Maria

sajili bora
Herrera
Romero
Shaw
(Martial), (Rashford) kuhusu hawa makinda sidhani kama kuna mtu anataka kusikia habari zao.
 
I feel you bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…