Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii Team ni ya maajabu maajabu inafungwa na visivyofunga
 
Wangemuacha morinho afu wakamwaga pesa kusajili msimu ujao timu man u ingetisha sana.
 
Jaribuni kumvumilia kama Sariball labda OGS anaweza kuibadili timu mwakani, lkn hofu yangu ni hiyo kuhusu walioongezwa mikataba still ni mazee sana kiumri [emoji30]
Timu imekuwa ya kipuuzi sana, eti Lingard ndiye strike yeye na kichaa mwenzake Rashford hahahaha tumekuwa sacoss ya kugawa hela kwa wachezea mpira.
 
aiseee attempt zote hizo[emoji16][emoji16]poleni sana fumua kikosi hiko
 
Duuuh...mbona mapema sana kukata tamaa Mkuu, si Pochetinho kadai hadi aandike historia ya UEFA na Tottenham Hotspur ndipo atakuwa huru kuondoka pale White Hartlane, ss mlikuwa mnataka mumsajili Conte au kocha yupi bora?
Hana jipya huyo pandikizi. Tunaacha makocha wenye Cv tunabeba huyu msugua benchi.
 
Duuuh...mbona mapema sana kukata tamaa Mkuu, si Pochetinho kadai hadi aandike historia ya UEFA na Tottenham Hotspur ndipo atakuwa huru kuondoka pale White Hartlane, ss mlikuwa mnataka mumsajili Conte au kocha yupi bora?
Tulikurupuka na ushindi aliopata na kirusi Pogba akachochea kuwa apewe mkataba na kweli tukampa. Sasa imekuwa ndiyo siyo, siyo ndiyo.

Mwanamke kabla hujamuoa atakuwa na bidii sana ila akiolewa hata kuoga haogi. (ndicho kafanya Ole Guna)
 
Daaah...! Sawa, so unadhani nini kifanyike ss hv ili kuinusuru Man Utd kuzidi kupoteza ubora wake[emoji848]
Tulikurupuka na ushindi aliopata na kirusi Pogba akachochea kuwa apewe mkataba na kweli tukampa. Sasa imekuwa ndiyo siyo, siyo ndiyo.

Mwanamke kabla hujamuoa atakuwa na bidii sana ila akiolewa hata kuoga haogi. (ndicho kafanya Ole Guna)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…