OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Ole alianza kwa kasi mpaka tukaona kabisa anaeza fanya maajabu msimu huu...lakini kilichotokea mpaka sasa tunashindwa elewa nini kimempata.! Au ndo wachezaji wamerudi kwenye uhalisia wao. Mourihno alionekana kuibaribu timu kwa kugombana na wachezaji lakini Ole ndo kabisa hauna alichofanikiwa...Baada ya Ole kupewa timu kwa Muda kabla ya kupewa Mkataba wa Kudumu na kuwa 'At the wheel' walikuwa Wakishinda wakafikia Kjitangazia kutaka nafasi ya Pili EPL na kutaka CL.
Lakini leo hawatamani hata kuimaliza hiyo mechi moja iliyobakia.
Ni wajinga tu wanaoweza kuamin Ole anaweza ivusha man u na kuipa mataji, hata kama akipewa miaka kumi, mafamikio yake makubwa labda kuingia top4, regulation ya timu za uingereza ni ngumu, makombe ma nne af uwe na timu mdebwedo, hauchomoki aiseeOle alianza kwa kasi mpaka tukaona kabisa anaeza fanya maajabu msimu huu...lakini kilichotokea mpaka sasa tunashindwa elewa nini kimempata.! Au ndo wachezaji wamerudi kwenye uhalisia wao. Mourihno alionekana kuibaribu timu kwa kugombana na wachezaji lakini Ole ndo kabisa hauna alichofanikiwa...
Kile kiti anahitaji apate kocha wa atletico madrid..Kiti kile kinamfaa sanaNi wajinga tu wanaoweza kuamin Ole anaweza ivusha man u na kuipa mataji, hata kama akipewa miaka kumi, mafamikio yake makubwa labda kuingia top4, regulation ya timu za uingereza ni ngumu, makombe ma nne af uwe na timu mdebwedo, hauchomoki aisee
Robertson-Hull City
This is crazy
Ni wajinga tu wanaoweza kuamin Ole anaweza ivusha man u na kuipa mataji, hata kama akipewa miaka kumi, mafamikio yake makubwa labda kuingia top4, regulation ya timu za uingereza ni ngumu, makombe ma nne af uwe na timu mdebwedo, hauchomoki aisee
Nyie ongeeeni yote lakini Mimi hapa ubongo ni Kama umepiga ganzi siamini kabisa kinachoendelea!Man U wa kuililia nafasi ya nne kiasi hiki?really?tunaipigania kabisa nafasi ya nne Kama tunaipigania ubingwa?kuna jamaa zangu mashabiki wa arsenal nilikuwa nawatania balaa enzi za mzee Fegi jinsi mbio zao zilivyokuwa zinabadilika ikifika february-march na kuhamishia nguvu zote kupigania top four.Yaani walikuwa wanaanza ligi kwa mbwembwe nyingi lakini ikifika kipindi hicho matumaini yao ya ubingwa yanakuwa yamepotea wanabadili gia angani.sikuwahi kuimagine Kuwa Kuna siku Kama hizi zitakuja....tunalia kabisa tumekosa nafasi ya nne!!!!!!this is sh***t!yaani pale walipo Man City na Liverpool zile mbio sisi ndio tunapostahili na sio huku mavumbini!!!!!inauma Sana hasa kwa sisi wengine tunaougua ugonjwa wa soka,naumia Sana lakini ndio hivyo napambana na Hali yangu.bahati mbaya kwangu huwa nashindwa kujizuia kuangalia mechi za man u,yaani tunapigwa Kama siku ile na everton mtu unajiapiza siangalii Tena mechi ya man u lakini ikifika siku anacheza unakomaa dakika ya 15-20 huyo kwenye kideo na tabasamu la kuvizia!Cha Moto nakiona......lakini nitabaki kuwa RED FOREVER.
Lloris 30+ Arrizabalaga 24Mkuu Hazard kuondoka sawa lakini Odoi apo uwongo ..halafu ni madirisha mawili ya usajili sio misimu miwili mkuu..
Dirisha la mwezi wa saba na wa pili apo..
Bado tuna imani rufaa yetu itakubaliwa tu..
Hata isipofanikiwa tunaeza fanya maajabu tu ..mbna Spurs ajafanya usajili wowote ule lakini yupo fainali uefa!?
Kikosi tulichonacho kinaweza finish timu mali ..cheki leo kitu namfanya uyo Frankfurt ...anakula tatu kavu!!!
Pamoja na kwamba washabiki wengi pale Manchester unakuta wameshakata seasonal tickets, Kuna kipindi tunapokuwa na timu kama hii wangegoma kuingia uwanjani ili kushinikiza bodi ibadilike na kununua wachezaji wenye hadhi ya kuchezea Man U. Lingewezekana hilo basi Glazer's family na yule mbwa Ed Woodward wangenyooka na wangejua machungu walonayo mashabiki. Shida ndo hivo michezaji inazingua balaa na haibadiliki na bado washabiki wanawasapoti kishenzi.
Kwa Sasa focus yetu iwe kurudi kucheza champions liege next season then ndo tupambane kufanya usajili coz tukilazimisha msimu huu tutaokoteza magalasa tu au wachezaji wenye tamaa ya pesa na sio kujitoa kwa ajili ya timu!Pole sana chief ila usiwaze tupo pamoja...cha msingi ninachoona hapa ni kukubaliana na uhalisia sahiv hii timu yetu tuna unga unga sana,kusema kweli nilikuwa naamini wachezaji tunao wa atleast kuingia top 4 bila shida ila nimekuja kujifunza wachezaji wengi tulionao wanatatizo mentally,yaani hatuna wachezaji wapambanaji uwezo wa kucheza wanao ila kwa sahv PL unahitaji pia kuwa tough sana mentally,uzuri ni kwamba ss naona Uongozi wa club umeona tatizo kubwa tulilonalo hvyo lazma watajitahidi warekebishe.
Sema hofu yangu ni kwamba kwa miaka ya hivi karibuni hakuna wachezaji wengi ambao kweli ni genuine World class kitu ambacho tunahitaji na hata ukiwapata gharama yake sio ya dunia hii labda ufanye kubahatisha wachezaji waliona thamani ndogo ndo uwakuze kuwa mastar kama walivyofanya Liverpool kwa Mane na Salah au City kwa Sane na Sterling,Hvyo ss tukubali kuwa wapole tu coz hii process naona inaweza kuchukua muda mrefu mpka tuje kukaa sawa na kurudi on top,maana inabdi pia tupate Technical Director anae jielewa na mwenye mtizamo wa mpira unao endana na Kocha.
Kwa Sasa focus yetu iwe kurudi kucheza champions liege next season then ndo tupambane kufanya usajili coz tukilazimisha msimu huu tutaokoteza magalasa tu au wachezaji wenye tamaa ya pesa na sio kujitoa kwa ajili ya timu!
Natembea na wewe mkuu DIEGO yuko poaKile kiti anahitaji apate kocha wa atletico madrid..Kiti kile kinamfaa sana
Aibu ya nini sasa? Hatuna namna sisi na Liverpool hatumshangilii. Spurs abebe ndoo, tutapumua mjini humu.Hata aibu huoni Tutashangilia Spurs hahahahahahahahah shangilia limkweche lako hili la mtaa wa 6
Inasemekana Herrera tayar kamalizana na Psg akisaini mkataba wa miaka 3 na mshahara £160,000 kwa wiki.
Ila hapa tunajifunza pia wachezaji na timu zao(Agent) muda mwingine wanazingua na kutafuta mianya ya kupiga madili makubwa.
Herrera na kambi yake walikuwa wanalazimisha kupata mshahara wa.£200,000 kwa wiki akiwa na umri wa miaka 29 na hata club walijitahid mpk kufikia £150,000 wampe lkn kambi yake ikagoma na club ikaghaili pia. Sasa tazama anaenda kulipwa £160,000 kwa wiki na sio £200,000 kama alizodai United ina maana hata Psg wamegoma na wameona si sahihi na hastahili kupewa paundi laki mbili japo wanampata bure sabab ikiwa na umri pia ndo mana bado hata muda wakatoa miaka 3 na sio 4 wala mitano
Hizo tuzo mnawapa kwa kazi gani walioifanya mpaka mkaamua kuwapa tuzo .......mmevurugwa nyieTUZO ZA MAN UNITEDTahith Chong - Mchezaji bora wa kikosi cha akiba
Mason Greenwood - Mchezaji bora wa kikosi cha vijana
Tuzo zinaendeleaView attachment 1092905
Dah jamaa wadogo lakin wana future kubwa sana kwa siku za usoni! Bongo huku umri umeshasoma mkubwa tu, bado watu wanakimbizana na gwajima..dah ila no wayTUZO ZA MAN UNITEDTahith Chong - Mchezaji bora wa kikosi cha akiba
Mason Greenwood - Mchezaji bora wa kikosi cha vijana
Tuzo zinaendeleaView attachment 1092905