Hongera mkuu kutubu ni indicator ya ushujaa na wala sio udhaifuDECEMBER 19 / 2018
tusione aibu kutubu dhambi zetu
ewe bwana Mungu si ungelitupa japo kauwezo kidogo wa kujua maisha yetu ya mbeleni sisi binadamu
nilisifia sana ujio wa ole gunnar solskjaer kwa sababu nilikuwa na imani ya kwamba wachezaji walishamchoka jose mourinho ndio maana tulikuwa tunafanya vibaya na nilifikia hatua ya kuandika maneno yafuatayo
kama solkskjaer atafanya vizuri basi klabu impe mkataba wa muda mrefu na isihangaike na makocha wengineo kama zilivyofanya klabu nyenginezo kama barcelona na madrid. hizi si nyakati za kupima ubora wa kocha kwa kutumia hoja ya uzoefu bali mafanikio yake ndio yatazamwe kwa jicho la mwewe, unajua kama kenny daglish ilimshinda liverpool lakini jurgen klopp anaelekea kufanikiwa.
lakini pia nilisisistiza maneno yafutayo ambayo bado yanaendelea kuwa sahihi.faida kubwa ya ujio wa ole gunnar solskjaer ni kwamba hatatokea yeyote anayejiita legend ambaye atathubutu kumkejeli mungu mwenye sura ya kitoto, hutomsikia paul scholes, giggs, neville brother,ferdinand na wengineo wakinyanyua mdomo wao kama mambo yatakwenda vibaya, labda awe mzungu asiyependa unafiki kama roy keane.
kama solakjaer atafanya vibaya hao legend wote watamgeuzia kibao ed woodward na watasema ya kwamba yeye ndio tatizo kwa kushindwa kutofautisha soka na biashara, pia watamshambulia paul pogba na wachezaji wengineo ambao watashutumiwa hawaithamini nembo ya klabu bali wanathamini maslahi yao.
mwisho nikamalizia
kumsubiria ole gunnar solakjaer afanye vibaya ni sawa sawa na kumsubiria kylian mbappe afikishe miaka 20 ya kuzaliwa au kumsubiria romelu lukaku afunge goli mita 30 kama wayne rooney.
radika naomba unisamehe brother, uliona mbali sana pale uliposema tutabadilisha makocha wangapi ikiwa mahitaji ya makocha hayatimiziwi?
Kuna wachezaji wakiwepo msimu ujao ntaacha kuishabikia hii timu kwa muda.Ndo kinachoniboa mimi..awaweke benchi then apange madogo tujue kimoja..
Not only Mou, even Van Gaal.Around 3rd December 2018, Jose Mourinho gave this statement. Fast forward to United's fine form under Ole Gunnar Solskjær which made us be in TOP 4 and every united page went crazy on Jose and his this Statement.
5th May 2019, Man Utd will miss the Champions League next season. He already knew that the players do not have the fight to carry the pressure this clubs puts on them.
I'm happy that I wasn't like the other pages who ranted on Jose's statement. How can you treat a manager who's been one of the best in the last 20 years? Sacking Jose was one the most embarrassing things the Club has ever done, and I'm not scared to say this.View attachment 1089469
Nikimwangalia tu vizuri hata kwenye press zake naona ni Yes man..mpaka sasa ingetakiwa awe anawaacha nyumbani wale wachezaji ambao anaona wanazingua au hawapaswi kuwa united,na awape madogo nafasi na next season tujipange..sasa yeye bado anaimani na hawa wazinguaji..Kinachoniogopesha ni kwamba Ole yupo desperate sana ku manage United
Kwa hiyo ni powerless kwa Ed na Tajiri, nahisi atakuwa Yes Man
Mpaka sasa united kama kuna mchezaji Mzuri atakubali kuja ujue atakuwa analipwa mshahara mkubwa sana maana hivi sasa kila mtu anataka kupiga hela za kijinga za man u.Bruno Fernandes scores his 31st goal this season (hattrick), making him the midfielder with most goals scored in a season.
nimeona taarifa majirani zetu tayari wameshaanza harakati za kumsajili huyu mwanadamu, nyakati hizi tunazojiandaa kuishi bila ya herrera tunapaswa tuingize ingizo jiipya kama hili.
kwa heri premier league karibu transfer rumours league
mkuu unapaswa unywe maji baadae urudi nyumbani (umemaliza kila kitu), nimebaki najiuliza hivi paundi million 200 zitatosha kweli kwenye usajili au ndio mwendo wa kuuziwa mbuzi wengine waliochokaHao watoto wa benfica na Porto au borrussia kuwamchomoa siyo chini ya mia napo kwa mbinde kweli kweli labda kama tukiamua kufanya vinginevyo tujipe two to three years kwajili ya kujipanga tusajili wachezaji vijana lakini wenye uchu wa mafanikio tunaweza kutoboa.
Naona umeamua kukimbia kabisa
mkuu unapaswa unywe maji baadae urudi nyumbani (umemaliza kila kitu), nimebaki najiuliza hivi paundi million 200 zitatosha kweli kwenye usajili au ndio mwendo wa kuuziwa mbuzi wengine waliochoka
Tutawanunua wachezaji hata wa milion 20
Kama vipi tuwakuze madogo wa Academy
Ni msimamo mzuri ili kuweka stability ya salary scale kwenye timuKuna dalili za wazi kabisa kuwa kuna kundi la watu wanaondoshwa united, kijanja sana, na kwa kugeuziwa kibao, Ikumbukwe de gea na pogba wamegoma kuongeza mikataba mipya, de gea akitaka 300,000 na pogba anataka 500,000 kwa wiki, ili kufidia panga la mishahara la msimu ujao sababu united haijafuzu ucl, na united imegoma kuongeza mshahara wanaotaka wachezaji hawa, hata herrera kumpa 150,000 imegoma kabisa, sasa hivi de gea anapewa ultimatum ya wiki moja ya kusaini mkataba bila maboresho anayotaka, maana yake nini?? Pengine kuna salary re-structuring ambayo ilikua ni lazima itokeee kustabilise timu, woodward alivurunda sana hapo awali, pengine anataka kurekebisha makosa, sio mbaya, tusubiri tuone.View attachment 1089640
mkuu sakata la pogba linaonyesha dhahiri klabu inafaidika zaidi na uwepo wa jamaa nje ya uwanja kimapato ndio maana hawataki kumpoteza kizembe na si kwamba eti hakuna viungo wanaomzidi pogba ambao wanapatikana sokoni kwa wastani wa paundi millioni 60.Ni msimamo mzuri ili kuweka stability ya salary scale kwenye timu
Lakini huu mjadala kuhusu Pogba kuongezewa sijui unatoka wapi
Pogba kuanzia mwezi wa saba, 2019 anakuwa amebakiza miaka 2 ili mkataba wake uishe, na bado klabu ina option ya kuongeza mwaka mmoja ikitaka
Sasa swali la kujiuliza ni kwamba klabu ina presha gani ya kufanya nae mazungumzo ya kumuongeza mkataba