interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,409
Mkumbushe hata Real Madrid alifukuzwa pia japo aliwapatia kombe la UEFAThe way timu inavyoendeshwa unafikiri kocha gani ambaye hatafukuzwa ?
Stage tuliyofika hatuhitaji kocha ambaye ni "YES MAN " tuna wachezaji ambao wakifungwa hawajali.Matatizo ya United yanaanzia kwenye top management ambapo decision maker ni watu ambao hawana ABC za football ndio wanafanya maamuzi mabovu while all top club wanaendesha timu kisasa
Kocha kufukuzwa kwenye modern football ni kawaida Ancellotti alifukuzwa Chelsea licha ya kupata mafanikio makubwa
ukipitia comment zangu za zamani naamini utajifunza msimamo wangu juu ya jose mourinho, mimi naomba tumuache jose apumzike na familia yake muda huu, tunafanya makosa makubwa kumbebesha mzigo wa lawama special one kwa haya matokeo tunayoyapata kipindi hiki.
Alaf wachezaj kama Wilfred Bonny na Mangala hawakuwah kusajiliwa na Pep na ndo mana aliwapiga fagio wachezaj wabovu ambao walisajiliwa hovyo na meneja aliyepita.
maneno niliyoyaweka bold umerudi pale pale kwenye mjadala wetu wa mara kwa mara humu ndani, tofauti kubwa iliopo kati ya guardiola na makocha wanaofundisha timu yetu ni uhuru waliopewa wa kufanya mabadiliko chanya ya kimfumo na kiuchezaji.
hili limeshazungumzwa zaidi ya mara 100 humu ndani.
Oleksandr Zinchenko Claudio Bravo Nolito İlkay Gündoğan Gabriel Jesus Danilo Ederson Bernardo Silva Kyle Walker Benjamin Mendy Aymeric Laporte Riyad Mahrez Douglas Luiz marlos moreno
wakati guardiola anapewa uhuru wa kusajili wachezaji hao niliowawaka kwenye table na wengineo wanaochezea reserve team ukija upande wetu hali ni tofauti.
hawa wote amewaondoa kwa misimu miwili tu, ukija kwetu wachezaji wenye viwango vya zabaleta na wapumbavu wengineo wamejaa tele lakini wanapewa mikataba mipya.
wilfred bony dzeko zabaleta, clichy sagna joe hart, samir nasri demichelis fernando, yaya toure kelechi iheanaco jesus navas, steven jovetic
wachezaji wanaozidi kiuwezo na edin dzeko wamejaa tele klabuni lakini ndio hao leo hii wanataka kupewa kandarasi ya paundi laki 3 kwa wiki.
guardiola alirithi squad iliohitaji mabadiliko madogo sana ukilinganisha na timu yetu na ushahidi wa hilo fuatilia ubora wa timu mbili hizi mnamo mwaka 2015/2016
Gundu la Man UHao ndio gundu la man u. Na uzur hata waingereza wenyewe wameshawachoka. Wanatakiwa kufukuzwa
Huyo kocha ashawahi kushusha timu daraja..nashangaa anapewa mikoba ya kuinoa timu yenye pressure kama man u...kisa anajua utamaduni...kuna viongozi pale Man u ni vichwa maji, kocha unapangiwa kikosi na mbinu, huo si uzwazwa..Man united ni timu yenye profile kubwa sn duniani ht kocha anaetakiwa kuinoa ni lazima awe na profile kubwa pia. Profile la mou ni kubwa na ndo mana ninaamini km mou angecklzwa na ed wood man united ingetisha. Ole gunnar anajua tu utamaduni wa united lkn profile lake ni dogo sn kuifundsha timu kubwa km united. Timu yenye makombe 20 ya ligi kuu england ifundshwe na kocha ambae hajawah kutwaa ubingwa wa ligi zile kubwa pale ulaya huo ni uongo
Guardiola alizinguana na wachezaji tena key player kama Toure, joe hat, nk , na timu ikawa inastruggle kuingia only top 4...mana hali ilikuwa ngumu, pressure ya kutimuliwa kocha ilionekana waz waz..lakn uongozi ulisimama kidete, wachezaji kibao wenye vibur wakauzwa, na mpunga ukamwagwa kuleta wachezaji wapya, kwa man u ni tofauti...kocha unatoa maoni kwamba nahitaji defender wapya, uongozi unakuangalia tuu, unawambia nahitaji attacking midf amabaye anaweza kutumika kama defence mid na unawaambia tena yule ndo anaifaa, uongozi umekuangalia tuu, mara uambiwe tunataka mchezaji anayweza kuintatain hvyo chukua sanchez, chukua pogba...akina ferguson walishastaaf lakn ndo wanaojifanya makocha wa kimya kimya...Kweli kabisa Chifu, Gadiola aliikuta Man City ikitoka kutinga nusu fainali ya UEFA lkn alipewa mzigo wa kutosha kuliko hata Man U kwaajili ya usajili.
Kocha bora asaini hovyo na huwez ukawa una demand eneo ambalo ushapewa fungu zaid ya mara mbili na watu wakashindwa kupafom .
Alaf mfano uliotoa kwa Bale,Coutinho kule Barca na Real ni wachezaj wazuri walienda kwenye timu bora zenye wachezaj bora.
Wakat united haina Galactico so unatumia pesa kibao alaf wachezaj wanaokuja wanaenda kukaa benchi kwa wachezaj wabovu.
Alaf wachezaj kama Wilfred Bonny na Mangala hawakuwah kusajiliwa na Pep na ndo mana aliwapiga fagio wachezaj wabovu ambao walisajiliwa hovyo na meneja aliyepita.
So hakuna excuse ya kumtetea Mourinho kama alishafukuzwa Chelsea na real sehem aliyofanya vizur zaidi y abaki aendelee kubaki kukaa united wakat timu inafanya vibaya
Usirudie kusema Morata ni mgonjwa ..msimu anaweza kuwepo darajani na atakunyoosha nyingi sana. Kwanza ujue jumapili nakupiga Tano angalau moja. wew utaambulia on target mbili tu.mkhitaryan hata huko arsenal kunaelekea kumshinda kiuchezaj, target ya kwanza kwa manchester united alikuwa ni griezmann lakini bahati mbaya athletico madrid walifungiwa kusajili hivyo basi ikawa vigumu kwa griezman kuondoka, man utd wakatuma ofa kwa alvaro morata lakini mazungumzo kati ya madrid na wawakilishi wa manchester united yakawa ovyo.
tumemkosa mgonjwa morata tumempata afadhali lukaku.ambaye cv yake ni kubwa nchini uingereza
mkuu bado unalalamika?
timu yako haitengenezi nafasi hata moja ya goli unakuja kumlaumu lukaku.
timu yako imejaza vikatuni unakuja kumalumu lukaku asiyepewa nafasi ya kutosha.
je hii ni sawa?
Kumbe walikuwa wawili wote waliofeli kwa Pep? Mi nilidhani ni huyo Claudio Bravo tu
Yani Watu wanashindwa kujua kuwa makocha nao ni Binadamu sawa na wengine, so uncertainity risk inaweza kumpata sawa na sisi ktk usajili wake.Sio wawili Mkuu, ni wengi
Kuna mtu anaitwa Nolito, alikuwa winger wa kwanza kwanza aliyesajiliwa na Pep pale City
Sio wawili Mkuu, ni wengi
Kuna mtu anaitwa Nolito, alikuwa winger wa kwanza kwanza aliyesajiliwa na Pep pale City
Usirudie kusema Morata ni mgonjwa ..msimu anaweza kuwepo darajani na atakunyoosha nyingi sana. Kwanza ujue jumapili nakupiga Tano angalau moja. wew utaambulia on target mbili tu.
Lete stats za Morata na uyo lukaku..
Uko vzr sana kimichezo, inaonekana huwa unaifatilia sana epl Bosi
Bolingoli vs Icard...united kwa rumaz hatujamboView attachment 1081520
Nafuatilia Mkuu, wengine hiyo ndio starehe yetu
Siamini kubwa japo huyo dogo amebadilika sana ktk miezi hii mitatu hivi. Ashakuwa father kishenziExactly