Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jose Mourinho is the most succesfull manager for Manchester United post SAF era,he demand new defenders Woodward block it (United have concede 50+ goals in EPL our worst record 3 game to go).

Last season United under Mourinho beat City 3-2 at Etihad,he claim finishing second with that team was one of his greatest achievement in his career
 
Kocha bora asaini hovyo na huwez ukawa una demand eneo ambalo ushapewa fungu zaid ya mara mbili na watu wakashindwa kupafom .

Alaf mfano uliotoa kwa Bale,Coutinho kule Barca na Real ni wachezaj wazuri walienda kwenye timu bora zenye wachezaj bora.

Wakat united haina Galactico so unatumia pesa kibao alaf wachezaj wanaokuja wanaenda kukaa benchi kwa wachezaj wabovu.

Alaf wachezaj kama Wilfred Bonny na Mangala hawakuwah kusajiliwa na Pep na ndo mana aliwapiga fagio wachezaj wabovu ambao walisajiliwa hovyo na meneja aliyepita.

So hakuna excuse ya kumtetea Mourinho kama alishafukuzwa Chelsea na real sehem aliyofanya vizur zaidi y abaki aendelee kubaki kukaa united wakat timu inafanya vibaya
 
The way timu inavyoendeshwa unafikiri kocha gani ambaye hatafukuzwa ?
Stage tuliyofika hatuhitaji kocha ambaye ni "YES MAN " tuna wachezaji ambao wakifungwa hawajali.Matatizo ya United yanaanzia kwenye top management ambapo decision maker ni watu ambao hawana ABC za football ndio wanafanya maamuzi mabovu while all top club wanaendesha timu kisasa

Kocha kufukuzwa kwenye modern football ni kawaida Ancellotti alifukuzwa Chelsea licha ya kupata mafanikio makubwa
 
So hakuna excuse ya kumtetea Mourinho kama alishafukuzwa Chelsea na real sehem aliyofanya vizur zaidi y abaki aendelee kubaki kukaa united wakat timu inafanya vibaya
ukipitia comment zangu za zamani naamini utajifunza msimamo wangu juu ya jose mourinho, mimi naomba tumuache jose apumzike na familia yake muda huu, tunafanya makosa makubwa kumbebesha mzigo wa lawama special one kwa haya matokeo tunayoyapata kipindi hiki.


Alaf wachezaj kama Wilfred Bonny na Mangala hawakuwah kusajiliwa na Pep na ndo mana aliwapiga fagio wachezaj wabovu ambao walisajiliwa hovyo na meneja aliyepita.

maneno niliyoyaweka bold umerudi pale pale kwenye mjadala wetu wa mara kwa mara humu ndani, tofauti kubwa iliopo kati ya guardiola na makocha wanaofundisha timu yetu ni uhuru waliopewa wa kufanya mabadiliko chanya ya kimfumo na kiuchezaji.

hili limeshazungumzwa zaidi ya mara 100 humu ndani.

Oleksandr Zinchenko Claudio BravoNolito İlkay Gündoğan Gabriel Jesus Danilo EdersonBernardo Silva
Kyle WalkerBenjamin MendyAymeric LaporteRiyad Mahrez Douglas Luizmarlos moreno

wakati guardiola anapewa uhuru wa kusajili wachezaji hao niliowawaka kwenye table na wengineo wanaochezea reserve team ukija upande wetu hali ni tofauti.

wilfred bonydzeko zabaleta,clichysagna joe hart,samir nasridemichelisfernando,yaya toure kelechi iheanaco jesus navas,steven jovetic
hawa wote amewaondoa kwa misimu miwili tu, ukija kwetu wachezaji wenye viwango vya zabaleta na wapumbavu wengineo wamejaa tele lakini wanapewa mikataba mipya.
wachezaji wanaozidi kiuwezo na edin dzeko wamejaa tele klabuni lakini ndio hao leo hii wanataka kupewa kandarasi ya paundi laki 3 kwa wiki.

guardiola alirithi squad iliohitaji mabadiliko madogo sana ukilinganisha na timu yetu na ushahidi wa hilo fuatilia ubora wa timu mbili hizi mnamo mwaka 2015/2016
 
Kwa point zako hizi Man United tunahitaji

√Mwalimu wa mpira mwenye jicho zuri,na aliye aggressive..je Ole ndo mwenyewe??..am not sure

√Ed amu-support huyo mwalimu 100℅

√Achaguliwe DOF ambaye at some point ameshaprove vitu
 
Kwa point zako hizi Man United tunahitaji

√Mwalimu wa mpira mwenye jicho zuri,na aliye aggressive..je Ole ndo mwenyewe??..am not sure

√Ed amu-support huyo mwalimu 100℅

√Achaguliwe DOF ambaye at some point ameshaprove vitu
  1. sidhani kama ed woodward ana nia ya dhati ya kutafuta DOF mwenye experience ya kazi kumshinda yeye na dalili zinaonekana.
  2. ole gunnar haeleweki mpaka sasa, ukiangalia huu ni mwezi wake wa tano tokea awasili klabuni lakini sijaona ufundi wowote aliokuja nao, ni ujinga kujiaminisha ya kwamba eti tutaimprove wakati wa pre season. Nyota njema ya kiuchezaji huonekanwa asubuhi na mapema.
 
Na pia Mechi nyingi ambazo tumecheza chini ya Ole,kila mara tukishazidiwa tu kidogo basi huoni mabadiliko yoyote kiuchezaji mpaka mpira unaisha,,so kimbinu tunaweza kusema Ole bado..ila wengi wamempa muda hadi next season..
 
Mara zote Jose alipatiwa 3rd or 4th choices ya wachezaji aliowataka

Ed love cheap options
 
Lukaku sitamlaumu

Hapati Huduma (assists)

Kocha ameonesha hamuamini, lazima kisaikolijia imuathiri

Naunga mkono aondoke kocha abaki na vitoto vyake na anunue wachezaji anaowaamini, tuone vitamfikisha wapi, kwenye neema au shimoni
 
Namfuatilia kocha wa Southampton naona ameibadili timu japo hajawa na hiyo pre season

Embu tumpe Ole muda tuone Mkuu
 
Pep alisajili wachezaji 11 alipoikuta Man City ilishafika nusu fainali UEFA lkn alifeli kwa kipa aliyemsajili badala ya Joe Hart kutimuliwa kwenda Italy ndipo Pep akasajili kipa no 1 wa Man City ss hv, Je Pep si kocha bora hadi asajili kipa pazia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…