Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Angekuwepo Mournho hii game ingeisha droo au city apigwe. Hii mambo ya nje-ndani Mournho hanaga na united isitoshe yupo home

Kacheza kama yuko ugenini,man u imeisha wamebaki washabiki tu.wakija kushtuka wawekezaji hao wamekimbia.
 
Sawa

Sasa usioneshe kama vile yeye kumfunga Man ni ajabu

Kiuhalisia hii mechi ilitegemewa Man atafungwa kuliko game ya Everton, kuliko ya Wolves na kuliko ya Arsenal

Pschologicaly United fans walijiandaa kufungwa hii game kuliko hizo nilizotaja hapo juu

Naelewa maneno yako yanasababishwa na Liverpool fans kuwa desperate Man Utd amnyang'anye points City, ila ndio hivyo City ametuzidi ......... Kama alivyozidi wengine
 
These are the same players who threw Mou under the bus, they will do exactly the same to Ole. It's just a matter of time.

Ole ataanza kuhukumiwa kuanzia mwisho wa msimu. Mwache aendelee kuwachekea wachezaji.
 
Tuna front three but haijawahi kupata kutokea..only one shot on target..imagine that
Mkuu ebu tuletee ule msimamo wa ligi baada ya mechi 5 za mwanzo Ole Sosha.


Manake Kila kukicha Ni table tu.
 
Maisha yanaenda kasi sana,yan man u wamekua mdebwedo kiasi hiki,watu wanajipigia tu tena pale pale ot,mmenikera sana manyau kwa kunipotezea usingizi wangu,na msipoangalia msimu ujao mtakua level za kina burnley,yan mmetoka kuwa mashetani mpaka kuwa manyau!dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…