Ebu mwambie naona jamaa anaongea vitu vya kusadikika.Aiseeeeeeee we jamaa sijui ungala vipi, hizo unazo ziita brana za Barca, Madrid na Utd zimejengwa na Mafanikio uwanjani kwa miaka mingi........
Alafu kuhusu city kutumia hela ndio Zama za mpira wa sasa angalia Chelsea wanavyotaka hell, Liverpool, Madrid, psg,Barca na utd, Wenger alikuwa Ni muumini wa kulea vipaji ila mwishoni ushindani ukamshinda akiwa na Asernal akaanza kuzivunja rekodi zake mwenyewe za usajili pale Asernal na bado ushindani haukuweza ndio maana akaamua kupunzika kuifunza Asernal......
Unasema City wako desperate kutumia hela, leo hi sokoni milion 50 pound hupati mchezaji.... Unataka wafanyeje sasa
Pia mkuu mtoto anaye Anza kuangilia mpira sahivi anatukuta fans wa utd hatuna hata Raha, wengine wakiwa wamekata hata tamaa ya kuangalia gemu unafikiri mtoto anatavutiwa kushabikia timu ambayo baba ake inamsonononesha kila siku pia hata mapenzi ya kuifatilia siyo makubwa ki vile na mbaya zaidi akajua sababu Nini (timu haishindi) kwa antukuwa anamshangaa baba yake kwanini haamii timu zinazoshinda ambozo yeye ndo logically atachagua Kati ya hizo
Yani swala la madogo ndo usisemePia mkuu mtoto anaye Anza kuangilia mpira sahivi anatukuta fans wa utd hatuna hata Raha, wengine wakiwa wamekata hata tamaa ya kuangalia gemu unafikiri mtoto anatavutiwa kushabikia timu ambayo baba ake inamsonononesha kila siku pia hata mapenzi ya kuifatilia siyo makubwa ki vile na mbaya zaidi akajua sababu Nini (timu haishindi) kwa antukuwa anamshangaa baba yake kwanini haamii timu zinazoshinda ambozo yeye ndo logically atachagua Kati ya hizo
You really dont know the power of branding!
Uliza kwanini EPL inatizamw sana na inamashabiki wengi sana kuliko Laliga wakati La liga teams ni vinara champions league? EPL ndio inabest deals kuliko La liga wakati timu za EPL zinateswa EPL?
Ivi kati ya Real madrid na MUFC nani ana more success? Na kwanini United were given the biggest deal by adidas kuliko kupewa madrid?
I am not wrong when a kid born in 2000 choose Manutd, because its all over everywhere compare to mancity! A kid ataona eeh wengi wanasupport manutd na mm nasupport manutd basi. Kwanini achague mancity basi na sio psg ambao washachukua kombex la farmers league sijui mara ngap mfululizo mana hana mpinxani ata mmoja kule!
Man city are trying to build an empire but that will not happen in this era. Clubs have more money now and they can quickly turn things around, it just needs a right decision which manutd fans are fighting for. Wengi kama sio wote wanataka ed afukuzwe na apatikane mtu anaejua football in and out ndio achukue nafasi ile. City will be another chelsea tu. Glory for few years then struggles.
To build an empire you need to win back to back titles more than 3 to gain recognition. ou need to kill competition for a few years ndio ujilikane kuwa dominant force atleast. Sio unachukua kombe kwa goal difference au 2 points!
Manutd uko nyuma aliua kabisa title contenders. Alikiwa anamuacha mtu wa pili wa mapoint mengi sana, akichukua makonbe mfululizo frequently. Lakini in this age things are different, sio rahis kujenga empire tena kila siku zikienda mbele. Na hasa kuwa Manutd is now also breaking the bank to find the solution. Mpaka sasa ivi ligi ya uingereza imekuwa unpredicatble sio kama zamani.
In 10 years usemazo city cant build an empire. Tuombe uhai na hii weka kama kumbukumbu uje unisute mkuu.
Lazima akushangae kwanini huamii timu inayocheza nayo hasa pale inapokuwa inacheza mpira mzuri Kama city(pass safi, possession, tackling, block, magoli inafunga Kama yoooote), mtakuwa mnaangalia mechi wewe unamlaum kocho na Smalling yeye anavutiwa na loy sane na Pep......Hicho ndiyo ambacho nakizungumzia pia.
Kama timu haishindi, hata ukiangalia unakuwa muda wote unawaponda kina Smalling, Rashford nk.
Mtoto ataipendaje timu ambayo baba unaiponda?
Povu jingi mtabeba EPL 2045 hukoKuna maboya Plastic Fans kweli,
Yani Man Utd ipoteze fanbase yake kwa kutobeba makombe ndani ya Miaka 10 or something?
Kajifunzeni soka Tena
Liverpool alikaa karibu 30 yrs na bado ana fans
Tangu premier league iwe premier league hajawahi beba na bado ana fans (wazee wa this is our year)kila mwaka
(YNWA-You Will Never Win Anything)
Mnajua mara ya mwisho Man Utd kubeba ndoo ilikua lini (Moyes anasilverware,VanGaal anandoo, Mourinho na uchizi wake nae katupa ndoo)
So mnaongelea Nini?
Na takwimu ni Man Utd ana fanbase ya more than 600m people around the world ambao actively wanafollow Man Utd everyday.
Mnazungumzia mabanda umiza gani ambayo hayajazi Mechi za Man Utd (seriously?)
Msiseme eti Brand na mapato yanashuka coz hamuoni jezi eti za Man Utd huko kwenye Mabanda umiza,huko jezi ziwepo zisiwepo (I Know zipo mie pia za msimu huu ninazo) hizo Ni za kkoo hazina impacts yeyote kwa Man Utd, coz sio official zile za more than £99 Original from Man Utd Stores hizo Bado zinakimbiza sana kaangalie tu takwimu za mauzo ya Jezi za Pogba, Ibrahimovic,nk
Ndio maana Ed Woodward anawacheki afu anasema Hiiiii
Povu jingi mtabeba EPL 2045 huko
Angalia age ya washabiki wa Liverpool, Ni kweli bado liver inawashabika lakini vipi Kama ingekuwa inaporform vizuri uwanjani na makombe inabeba leo hii fan base yake ingekuwajeLiverfool mara ya mwisho kubeba EPL lini?
Arsenal lini? Chelsea lini?Spurs?
Sasa ajabu nini kwa Man Utd adi watu wawashwe washwe?
Plastic Fans tu ndio watahama... football is a religion...Ni Kama kabila huwezi badili
Hao wanaohama ndio watoto wajuzi ambao walianza kuipenda Chelsea kwa ajili ya Drogba,
Liverpool hadi leo ana fans... unajua EPL kabeba lini mara ya mwisho?
Jifunze soka...sio ushabiki maandazi
Hayo mapato yashuke tu,kwanza mabosi wenyewe ni mabahiri balaa pamoja na hayo mapato kuwa juuMkiikosa UEFA ijayo mapato yanashuka kwa zaidi ya pauni milioni mia
tupo kwenye uzi wa CityMbona jukwaa limepoa sana, wenyeji mpo kweli?
Dooh, Leo nacheka sana.Nina uhakika leo tunashinda au kudroo, hawa City hawawezi kutupiga nje ndani.
Wajipange.
Hayo mapato yashuke tu,kwanza mabosi wenyewe ni mabahiri balaa pamoja na hayo mapato kuwa juu
Dooh, Leo nacheka sana.
Kati ya siku ambayo sijisumbui kubana nanilii zangu ili tushinde ni Leo[emoji23][emoji23].
Liverpool watafanya hivyo badala yangu.
Kabisa, halafu naomba nitumie voice note ya wimbo wa Glory Man United nianze kupiga zoezi kabisa la kuimba.
Lazima tuwajulishe City kwamba hela hainunui heshima, Man Utd tutabaki juu, mawinguni.