Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ningekua manager, basi hiki ndio kingekua kikosi changu siku ya jumatano

Grant
Injured valencia- Rojo - Darmian - Young
McTominay
Lingard - Pereira
Gomes - Lukaku - Chong
Umetumia vigezo vipi?
 
Media ya uingereza inawapigia debe sana wachezaji wake inawapa sifa za uwezo ambao hawana baada ya kina lingard na rashford sasa angalia hudson odoi sahv nae ndo walewale wakina rashford
Sio media, ni platform ya kuonekana.
 

Exactly, swala la jezi sasa hivi Man Utd unaweza kuona kwamba walionazo wamebaki wanazivaa kama t-shirts za kawaida si kwa pride kama kipindi kile.

Ilikuwa ukienda kwenye banda la kuonesha mpira Utd akiwa anacheza, jezi za United zilikuwa ziko full, siku hizi ni wachache sana.

Fanbase huwa inakuwa created mara nyingi sana katika teenage, na matokeo uwanjani ni moja ya determinants za watu kuchagua timu.

Man Utd inaonekana kama brand bado iko juu kwa sababu miaka 6 bado ni kidogo kutupa majibu, next 10 years City akiendakiendelea kufanya anachofanya na huku Utd ikiwa inachechemea, most likely tutaanza kuona effects za brand kushuka.

Mfano mdogo ni endorsements, Man Utd hawezi ku-attract contracts kubwa kama za kipindi kile kwa sababu ya performance ambayo iko direct related na viwerships.
 

King Ngwaba is talking about future, and you are talking history.

Fanya trend analysis ya Man Utd vs Man Utd kwa 10 years tenure ie 2001-2010, 2011-2020, 2021-2030.

Man Utd jezi atakazouza kwa average player kipindi hiki hazifikii idadi ya jezi ambazo aliuza kwa mchezaji wa same caliber ten years back.

Tuchukue mfano simple: mara ya mwisho umenunua jezi ya Man Utd lini?

Interval ya ununuaji wa jezi mtu mmoja mmoja imepungua sana, kuna watu kila msimu walikuwa wananunua jezi au atleast kila 2 seasons, leo hii washabiki hao utakuta hawana jezi za Chevrolet.

Na jezi nyingi tunazoziona mtaani ni AON, you can challenge me kwenye hili.
 

Jiulize Maswali haya:

1) Je unajuwa kuwa kabla ya 2004 (Kuja Mourinho kuchukuwa Makombe) Chelsea haikuwa na Washabiki hata asilimi 5% ya hawa walionao sasa hapa Bongo?

2) Je wajuwa kuwa Man United kabla ya Mapinduzi ya 1992 ilizidiwa na hata Everton Kwa Brand na pengine Mapato?

3) Je Wajuwa Kuwa Arsenal kabla ya 2004 ilijichotea Washabiki Wengi duniani karibia kwenda Sambamba na Man United?

4) Je Wajua Kwanini Adidas Miaka 5 iliyopita Waliikatalia Liverpool kuingia Mikataba nayo? Na Kwanini Sasahivi Wapo Kwenye Mazungumzo na Liverpool kuhusu Mikataba?

5) Je Wajuwa Kwanini Vijana Wengi walioanza kupenda Mpira kuanzia 1995 mpaka 2010 walikuwa wakikimbilia Manchester United? Je huoni kuwa kizazi kilichoanza kupenda Mpira 2011 mpaka kufikia sasa ni wachache ndiyo wanaoipenda Man United?

Mkuu usijidanganye MAKOMBE NDIYO YALIYOITENGENEZA MAN UNITED NA FAN BASE YAKE.

Bila ya Makombe Hayo Makampuni Yataanza kukimbia polepole ...

Washabiki wakianza kujiridhisha kuwa Wachezaji wao ni average basi pia mauzo ya Jezi yataanza kuporomoka
 
Itakuwa si habari njema kwetu Man U Original
 
Ningekua manager, basi hiki ndio kingekua kikosi changu siku ya jumatano

Grant
Injured valencia- Rojo - Darmian - Young
McTominay
Lingard - Pereira
Gomes - Lukaku - Chong
Wewe jamaa unanifurahishaga sana, halafu humkubali rashford kinoma, hahaaa

Ulishawahi kuweka avatar umempiga X,
 
Better tupate tabu as long as my club is not under a certain Russian sugar dad.
Msishinde sawa tu

Ila bado mna maisha magumu sana hapo klabu kwenu, mambo ya uzawa lazima yawadidimize sana tu na mtapata tabu sana
 
Better tupate tabu as long as my club is not under a certain Russian sugar dad.


Russian Sugardad! Ahahahhah

Timu ambazo hazina matajiri ni timu za Spain tu(Barca, Real na Atletico). kwa mpira wa uingereza hamna Club yenye jeuri hiyo
 
Probably yes. Lakin kuzaliwa africa ama ulaya hakakukufanyi ufanikiwe. Juhudi zako tu.. ndio maana tuna wachezaj wa afrika wanao cheza vilab vya nje. Wao wana nn cha tofauti na himidi mao? Well kiwango ..uzoefu.
Kwani pogba angezaliwa urongoni au kitunda kama himidi angetoka?
 
Wewe jamaa unanifurahishaga sana, halafu humkubali rashford kinoma, hahaaa

Ulishawahi kuweka avatar umempiga X,
Rashford pimbi tu kwa umri alionao tena alipaswa kuwa wa moto balaa....nakumbuka umri ule ronaldo alikuwa tishio mno hapo trafford

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…