Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ili mchezaji awe world class inabidi awaje?, achezee timu gani?, afanye nini?
Hapa ndo mnafeli kila siku kwa kudhani mchezaji akiwa man u tayari ni world class, acheni utoto timu yenu iwe nzuri lazima mkosoe wachezaji mizigo sio kuja hapa na kusema first11 ya man ni world class. Crap
 
Usiogope ndugu sikumaanisha Man U ndio wana world class players umepaniki bure tu, point yangu ilikuwa hivi, Liverpool mna wachezaji wa kawaida wasio world class lakini mbona mnacheza vizuri ili hali Man U wako hivo hivo ila wanacheza hovyo kiasi hiki?
 
Yah! Ferguson aliwaweka kwenye udhibiti kupitia FA kiasi ya kwamba Manure ikatawala soka la kiengereza kupitia msaada wa hao majamaa
Vipi ulaya maana fergie alifululiza kama sio nusu ni fainali miaka kibao, kule alikuwa anabebwa na nani?

Na usisahau nyie gerrard kila anafunga penalty 10+ kwa msimu, anapewa hadi hattrick ya penalty.
 
Hujajibu swali/maswali yangu
Man u kuna world class players wangapi?
Liver je,
Chelsea je,
Man city je,
Barcelona je,
Niorodheshee vigezo vya kuwa world class kwanza
 
Jibu ni kwamba wamesajili wachezaji kwa ajili ya mfumo wao, wote wanaendana,
 
Michael olivier nafikiri ni spurs, jamaa anaioneaga sana araenal.
 
Hujajibu swali/maswali yangu
Man u kuna world class players wangapi?
Liver je,
Chelsea je,
Man city je,
Barcelona je,
Niorodheshee vigezo vya kuwa world class kwanza
Mchezaji mwenye kipaji kukubwa, mshindi, na mwenye hamu ya ushindi daima na mwenye uwezo wa kushindana katika viwango vya juu ktk mashindano mbalimbali ya ndani na kimataifa pasipokujali anacheza na nani na akawa analeta matokeo au kupelekea matokeo yanayohitajika kwa timu yake. HUYO NDIYE WORLD CLASS PLAYER. Baada ya hapo fanyia tathimini timu yako ujue una wachezaji wangapi wa kuitwa World class player + hizo timu zingine ulizoweka hapo

NB: Timu inaweza kuwa na mchezaji mwenye sifa za kuwa WCP ila ubovu wa timu ukafanya na yeye akawa average player
 
Manyumbu mnataman mngekuwa yuropa mmpitie hata mlango wa uani kwenda UCL,hahaaa
Kwani Wewe uliyepo europa kuna chochote utafanikiwa. Usiwacheke manure wAnaweza pambana na ukashanga msimu ujao wako uefa tena ..sasa wewe wa nafasi ya tano kila msimu unategemea nini kweny euopa? Kama ni kubeba sahau kabisa..
 
Wewe fala kweli, Wewe kocha wako mvuta bangi hajawahi kubeba kombe lolote ana gundu, ndio atabeba hata Europa kweli? Nafasi ya 5 ni cheltako, ya 6 INA mwenyewe

Ya 3 na 4 ni tot na arsenal
 
Kwani Wewe uliyepo europa kuna chochote utafanikiwa. Usiwacheke manure wAnaweza pambana na ukashanga msimu ujao wako uefa tena ..sasa wewe wa nafasi ya tano kila msimu unategemea nini kweny euopa? Kama ni kubeba sahau kabisa..
Una timu bovu likipigwa unajificha wiki nzima ,Leo unakuja kupayuka humu, mkishika namba 5 au 6 tutaona utajipiga ban ya muda gani
 
Kwa sifa na vigezo hivyo ulivyovitaja basi EPL nzima huyo mchezaji atakuwa ni Ngolo Kante peke yake
Again, kwa vigezo hivyo hata Messi haqualify manake akiwa na National team hajashinda World Cup
 
Kwani Wewe uliyepo europa kuna chochote utafanikiwa. Usiwacheke manure wAnaweza pambana na ukashanga msimu ujao wako uefa tena ..sasa wewe wa nafasi ya tano kila msimu unategemea nini kweny euopa? Kama ni kubeba sahau kabisa..
Kwanza Valencia hawaachi hawa
 
Wataje wa man u
 
Liverpool yenye kiwango bora kabisa imefikia hatua ya kutegemea timu zingine zishinde dhid ya Man City ili wao wabebe ubingwa. Huu ni udhaifu wa khali ya juu kuwahi kutokea kwenye EPL ..inadhihirisha ni jinsi gani huwez kupambana mwenyewe kama Chelsea, au Man city hadi mbeleko likubebe..

Kwa khali hii kama Klopp atakuwa na mawazo kama ya ninyi fans wake, basi atakuwa kafeli pabaya sana na kila msimu ataishia kuwa mshindani bora wa ligi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…