Ntalukwilasa
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 989
- 1,281
Leo manure mmetombeka kwelikweli 4-0
Mimi kesho kama kawa Hazard atanipigia mbilo safi na ukiongeza na Higuain apo lembe ..supa sub Geroud wanakufa nne wale watoto..
Game saa ngapi hii!? Manake Hawa Aseno hicho kipondo watachotoa kwa Palace hadi hurumarsenal starting XI: Leno, Jenkinson, Mvropanos, Mustafi, Koscielny, Kolasinac, Elneny, Guendouzi, Ozil, Lacazette, Aubameyang
Subs: Cech, Monreal, Maitland-Niles, Torreira, Mkhitaryan, Iwobi, Nketiah
Mmemsbupalia kocha ndio mwenye shida.. wkt shida iko kwa wachezaji na uongozi wenyewe.
Man u ya sasa hata aje malaika awe kocha kwa wachezaji hawa.. atafungwa tu.
Tatizo haliko kwa kocha bali team yenyewe.. hawana wachezaji wa kueleweka
Kuna wale waliropoka tutachukua na uefa kabisa ..tena walivyomtoa PSG ndo waliwehuka kabisa..hahahahahaKuna mashabiki walianza kupiga hesabu za kombe la epl msimu huu.
Woodward na mabosi wa Man U ni wabahili,tusitegemee makubwa kwenye usajiliOle akizembea kwenye usajili msimu ujao ataenda na maji.
Wachezaji wa kuwafukuza ni zaidi ya 10. Alete majembe ya kazi.
Mpaka sasa tulitakiwa tuwe na Sports Director ambaye ameshaanza usajili.
Beki ya sasa ni sifuri, tukiendelea nao msimu ujao hakuna kitu.
Morinho alitaka hela asajili majembe, Ed akamkatalia. Asipompa Ole hela ya kununua wachezaji, he should leave.
Ed should be sacked.
Ole wetu mbona alianza vizuri tu ..au hasira ya wachezaji kumchukia Mourihno ..sasa hasira imeisha wamerudi kwenye khali ya kawaida.Mmemsbupalia kocha ndio mwenye shida.. wkt shida iko kwa wachezaji na uongozi wenyewe.
Man u ya sasa hata aje malaika awe kocha kwa wachezaji hawa.. atafungwa tu.
Tatizo haliko kwa kocha bali team yenyewe.. hawana wachezaji wa kueleweka
Na bado hapo wanamtaka Sancho,Rice na Wan Bisaka + Odoi wanampigia hesabu. Ole anamfatisha ferg wakati mwenzie alifanikiwa zaidi kipindi uwekezaji haupo kama ilivyo leoNishaanza kuona mzigo wa waingereza kwenye timu.
si ndo wachezaji nlionao mama la mama ..ao ndo watatupa matokeo leo maana tunashinda nyingi Sana..Duh aisee una moyo sana kuwategemea Higuan na Giroud
Ole wetu mbona alianza vizuri tu ..au hasira ya wachezaji kumchukia Mourihno ..sasa hasira imeisha wamerudi kwenye khali ya kawaida.
Au timu zmeshajua Ole ni mviziaji anategemea kauntatakki...
Hauwezi kuipenda Man U hata kwa ajili yangu?
Btw we are united
we fall seven times and stand up eight.
Hahaha tangy lini Manchester United na Liverpool zikàwa marafiki? Hahaha sijapata ona aise ..bora umesema mapema..Kwa game ya city asijali yalopita angepanga watoto kadhaa na wale wachezaji wote wanaokaaga benchi ili tujiandae dhidi ya Chelsea. City watufunge tu ili Liverpool wasichukue ubingwa na kibaya zaidi eti sisi tuwe daraja lao,MBWA HIZI ZIPAMBANE NA HALI ZAO!!
Nadhani umesahau kuwa Wakati Ole anakabidhiwa timu na ikaanza kushinda Mfululizo alianza Kutupiwa Misifa Kibao na Mourinho akaanza kutukanwa kuwa alishindwa Kuwatumia Wachezaji.
Sasa Kama Ole huyuhuyu alisifiwa Timu ilipokuwa ikishinda kwanini Leo Mumvue Makosa?
Kwa iyo mkuu wachezaji ndo wanamfelisha Ole? Mbona gemu kadhaa za nyuma walikimbiza fresh tu? Au pengine baada ya Ole kuwa kocha mkuu ..sasa yeye ndo mwenye maamuzi ya mwisho, yeye ndo anapanga nan acheze na nan asicheze, kipind bdo hajakabiziwa usukan alikuwa anapokea maelekezo kwa Karrick na yule mwingine ..sisi Man u fans tunashindwa kuelewa kabisa mkuu Detective..Haha ollachuga my friend. Anaye cheza mpira ni olle au wachezaji?
Ole ameshasajili mchezaji hata mmoja.?
Ishu sio kumlaumu hapana.. ila tatizo kubwa liko wachezaji. Kuweka ucshabiki pemben man u hana kikos cha ubingwa kwa sasa.
Ndio maana narudi pale pale. Mou alipoanza alisifiwa sana kama unakumbuka. Baadae mambo yakawa mabaya. Kuweka ushabiki pemben binafsi nilijua tu walikuwa wakicheza kumuonyesha mou kwamba ni mbaya.. ila sio kuifikisha timu popote.
Sasa yale yale madudu yanajirudia. Man u wanakibarua cha kujenga timu upya.
si ndo wachezaji nlionao mama la mama ..ao ndo watatupa matokeo leo maana tunashinda nyingi Sana..
Pamoja na wachezaji kuwa na shida kubwa na mengineyo,hii ndio shida kubwa sanaaaaa,ambayo watu wengi humu hawaioni na kuizungumzia. Kila nikifikiria Liverpool ina wachezaji gani ambao ni world class players naona ni Salah tu. Kwa nn wanacheza vizuri ni kwa sababu ya mfumo tofauti na mzuri wa kocha. Tunahitaji kufundisha Possession football and counter attacking football kwa pamoja ili timu iwe na uwezo wa kufanya hayo yote mawili.Mchawi wa man u ni furgeson na edwoord
Yaani wewe unawaza kama miminingefurahi zaidi timu ingemaliza nafasi ya nane ili isishiriki kabisa mashindano yeyote ya ulaya ili tuanze na fresh page
fatigue, team selection, subs, willingness, poor marking na ubora wa Everton ndo sababu ya kupoteza leo nilivyoona mimi