Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nilitoa kama mfano mdogo tu kwamba hao maslay queen uchwara wote wabovu lakini amberlulu ana uafadhali
Ahahahahaha Mama weee mbavu zangu, ukoko wa pilau na Ukoko wa biliani Upi unauafadhali !???? Ahahahaha nimecheka kwanguvu alafu kiboya mpaka mtu mzima nlokuwa karibu naye akasema Masmartfon hayo yanawapa uchizi!!!!!
 
Hivi tunavyojifanya tumeumia kwa kufungwa leo naomba nguvu zetu za kinyonge tusije tukazimalizia kwa man city!!

Manchester city must win ifikapo jumatano
Kweli kabisa hii ndio furaha yetu pekee kwa msimu huu.

Mara dippers wanaloose ligi kwa City, UEFA wanaingia final lakini wanatoka patumu.
 
Hamna tuimbe machungu tele moyoni

Ila mkuu kesho una mechi ujue ,weka ka akiba ka manenooo
Mimi kesho kama kawa Hazard atanipigia mbilo safi na ukiongeza na Higuain apo lembe ..supa sub Geroud wanakufa nne wale watoto..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…