Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Bring eriksen jamaa anajua sana.
Pogba hamna kitu.
Fumua timu nzima.
Ata mkitumia misimu mi3 kuijenga upya timu.
Ila kwa hii ni kuaibisha jiji
Wakishaitengeneza timu alafu iwaje? Wacha timu ibaki kama ilivyo ili wapiganiaji wa taji wabaki wawili alafu wazee wa kitafuta top 4 waendelee kuminyana huko
 
Mkuu habari.
Sala na imani yako kwa manchester united inaendeleaje??
Unajiskiaje kumuombea na kumuamini mtu asiye pambana kabisa uwannjani??
 
Kwanini watu wanasema kuwa kununua wachezaji 11 ni ghali sana kwa united hii ambayo kila siku ed woodward anatuambia kuwa ni klabu tajiri zaidi duniani? Sio lazima kununua world class kwa bei ghali sana bali wachezaji wazuri kwa bei poa na tukawa na subira ya miaka 2 tukaanza kutamba ulaya kama kipindi cha fergie. Ukitaka wachezaji kutoka ligi 5 bora barani ulaya,lazima itakuwa ngumu ila ukiingia eredivisie pale unapata wachezaji wazuri na tunafanya vizuri sana kama tutaondoa uingereza ndani ya timu.
Na cha mwisho kabisa,tunaeza kununua timu kama ajax tukaibadilisha jina tukaiita united kama vijana wa soton waliyojazwa pale anfield.
 
Ndio na hii ya kusema "charity start at home" other teams are doing better than us!! Why??
 
Hasira zimepungua ngoja nitoe japo comment moja. Pamoja na ukweli kwamba Everton wapo vizuri hasa kwenye Uwanja wao wa nyumbani, MUFC imekuwa ovyo kabisa. Kunahitajika mabadiliko makubwa sana toka management, bench la ufundi na wachezaji pia. Inaudhi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…