Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hayo maumivu nizaidi ya uchungu wa kutoa jino😀😀😀😀😀
 
Ile timu ya wanawake ingefanya vizuri kuliko hawa wa shenzi
FT: 4-0
Kocha sasa inabidi ajifunze hapa..hiki kikosi cha kipindi cha pili ndio kikosi cha kwanza Man U kwa sasa...ukiondoa ujinga ujinga wa Dalot&Martial, kikosi hiki ndicho kinatakiwa kianze Jamatano dhidi ya City.
 
Bado April 24 aisee mmasai atapandisha mori *****
 
Mimi mwenyewe nilipoona ameingia Scot nikajua katoka Matic, kuja kushangaa katoka Fred
 
Ndio naingia jamani, utaratibu wa mazishi ukoje, kamati imeundwa? mwenyekiti ndio nani?, katibu na mpokea rambirambi je?. Huu ni msiba mkubwa tusifanye utani jamani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…