Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Sasa kocha wako atafanya hivo,? Wakati anawapalenda waingerezaZinarudi zote...Toa Martial weka Mata (huyu ankimbiza sana anahangaika sana uwanjani) Toa Dalot weka Young(huyu anapandisha sana mipira mbele na kupiga kross) acheze kulia Lindelof arudi pale kati, jones asogezwe kule kushoto.
Nipo emirates , au kaburi la wapinzaniMkuu leo unacheza na Zaha&Co. Jichunge
Kwa kweli kwa sasa kocha yoyote atakayepewa hii timu hatadumu nayo. Ni timua timua tu. Maana ukubwa wa club na ubora wa timu havifanani. Sijui ni kwa muda gani mtatengeneza hii timu yenu iweze kushindana na City na Liverpool, achilia mbali Arsenal, Spurs na Chelsea.Ivi nyie sindiyo juzi tu mshinda mechi nyingi na kusema Sosha Ni bonge la kocha. Mkafika mbali na kupanga matokeo toka Sosha achue timu.
Mkuu nakereka sana kale kajamaa kanaitwa AARON katakuja muda sio mrefu hapa..
Kwa hisani ya TalaWatapigwa hadi watachakaa
Ukipigwa ya jumatano ,top 4 huipati tena ,utakuwa unaitafuta nafas ya 5 tuKama mechi ya leo tunapigwa, j5 na man city then j2 na Chelsea siwezi kusema chochote naiyona top4 kwa mbali
tuanzie hapo kwenye upangaji mkuu nadhani squad yetu aliyoiacha MO ndo ile ile aliyokuwa nayo sasa mkuu swali kwako ulikuwa unataka leo amuanzishe Messi??Nilishasema sosha sio kocha ni muhamasishaji tu.
Hajui kupanga timu
Hajui kufanya sub
Hawez kumpiga sub pogba ata azingue vip
Ana komaa na philosofy za fergie nk hana tactics zake mwenyewe
In short the job is too big for him.
Man u ya sasa usiitegemee.
Wale wenye iman endeleen kusali nk
Ngoja niendeleee kuomba miujiza ila najua timu yangu mbovuUkipigwa ya jumatano ,top 4 huipati tena ,utakuwa unaitafuta nafas ya 5 tu
Hujui team management weweMidfield imekosewa
Yah subiri miujiza labdaNgoja niendeleee kuomba miujiza ila najua timu yangu mbovu
Zinarudi zote...Toa Martial weka Mata (huyu ankimbiza sana anahangaika sana uwanjani) Toa Dalot weka Young(huyu anapandisha sana mipira mbele na kupiga kross) acheze kulia Lindelof arudi pale kati, jones asogezwe kule kushoto.
Daaaah inauma sana basi tuYah subiri miujiza labda
We ndiye umeongea point muhimu na nzito. Degea hata mechi ya Barcelona alifungwa goli cheap sana. ameflop toka enzi za MouDe gea anahitaji mapumziko sasa. Na timu nzima iende likizo isiyo na malipo warudi msimu ujao.