Hahaa umeyamiss sana magoli yake, tatizo uzee tena, pia hakuna wa kumlisha kama ilivyokuwa madrid
Its 6 years now club are continue to make the same mistake while our competitor have identify & address their problem and moving foward while we are continue with the same cycle.Jose need new defender Woodward block it and sack him.Mou is a great coach, but the point he reached at united could no longer be tolerated, regardless of the reasons
May be appointing Ole was a rash move, may be.... May be we should have wait till the end of the season. But now he is our coach, and it is too early to judge him
He needs time, though some of his decisions is very frustrating
Sent using Jamii Forums mobile app
mmh! Hatujafikia undugu wa namna hiyo, japo ni kweli hatutaki Liverpool amebebe chochote.Jamani eeenhe,humu ndani mnadiscuss kuhusu nini muda huu..?
Maana naona uzi wenu unacheza cheza..!
Au mnaangalia marudio ya mechi yenu ya Jana..!?
Ahahaaaah, nawatania tu majirani..!
Majirani zetu leo mtuombee tumpasue Spurs,maana sisi ndio wawakilishi pekee tuliobaki kutoka jiji la Manchester..!
Au mnataka Liverpool akabebe UEFA..?
Nadhani hamtaki kitu cha namna hiyo kitokee,pia tukikutana kwenye EPL wiki ijayo mlegeze kidogo,maana mkikaza tu Liverpool anatembea na ndoo,nadhani hamtopenda kabisa jambo hili litokee pia..!
Sisi ni ndugu bhana,wote ni watoto wa Manchester..!
Sawa tumezipokea, ngapi huko?Jana Barca wamemdhalilisha Degea,Messi alikuwa anatamba kama mzee Yusuph poleni majirani.
😂😂😂😂😂Jana nilikuona kule home kwenu full vicheko na black panther nikapita kimya kimya moyo ukikimbiza vena na ateri zifanye kazi zake kwa ufasaha
Jamani eeenhe,humu ndani mnadiscuss kuhusu nini muda huu..?
Maana naona uzi wenu unacheza cheza..!
Au mnaangalia marudio ya mechi yenu ya Jana..!?
Ahahaaaah, nawatania tu majirani..!
Majirani zetu leo mtuombee tumpasue Spurs,maana sisi ndio wawakilishi pekee tuliobaki kutoka jiji la Manchester..!
Au mnataka Liverpool akabebe UEFA..?
Nadhani hamtaki kitu cha namna hiyo kitokee,pia tukikutana kwenye EPL wiki ijayo mlegeze kidogo,maana mkikaza tu Liverpool anatembea na ndoo,nadhani hamtopenda kabisa jambo hili litokee pia..!
Sisi ni ndugu bhana,wote ni watoto wa Manchester..!
Jamani eeenhe,humu ndani mnadiscuss kuhusu nini muda huu..?
Maana naona uzi wenu unacheza cheza..!
Au mnaangalia marudio ya mechi yenu ya Jana..!?
Ahahaaaah, nawatania tu majirani..!
Majirani zetu leo mtuombee tumpasue Spurs,maana sisi ndio wawakilishi pekee tuliobaki kutoka jiji la Manchester..!
Au mnataka Liverpool akabebe UEFA..?
Nadhani hamtaki kitu cha namna hiyo kitokee,pia tukikutana kwenye EPL wiki ijayo mlegeze kidogo,maana mkikaza tu Liverpool anatembea na ndoo,nadhani hamtopenda kabisa jambo hili litokee pia..!
Sisi ni ndugu bhana,wote ni watoto wa Manchester..!
Mfe nao hao msiwalegezee
Mfe nao hao msiwalegezee
Hata Droo tu itatosha Manchester United hamtatuangusha.Tutakufa nae perpendicular
Pole sanaJamani eeenhe,humu ndani mnadiscuss kuhusu nini muda huu..?
Maana naona uzi wenu unacheza cheza..!
Au mnaangalia marudio ya mechi yenu ya Jana..!?
Ahahaaaah, nawatania tu majirani..!
Majirani zetu leo mtuombee tumpasue Spurs,maana sisi ndio wawakilishi pekee tuliobaki kutoka jiji la Manchester..!
Au mnataka Liverpool akabebe UEFA..?
Nadhani hamtaki kitu cha namna hiyo kitokee,pia tukikutana kwenye EPL wiki ijayo mlegeze kidogo,maana mkikaza tu Liverpool anatembea na ndoo,nadhani hamtopenda kabisa jambo hili litokee pia..!
Sisi ni ndugu bhana,wote ni watoto wa Manchester..!
Izo ndoto zako unaota kiboya sanaa..Nimeona Liverpool amefungwa na poto,na ndoto zangu huwa hazidanganyi.
Sent using Jamii Forums mobile app