BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,334
- 8,813
Hehehehe, eti Fainali.....
Aliekuambia Barca atafika final ni nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
kuwa na waingereza sio tatizo maana hata Pep anao tena wanne ni regular starter na wanadeliver, kuna Jordan Sancho, Harry Kane, Pickford, Kirian Trippier and co mbona wanacheza mpira mzuri sana
maana kwenye timu yetu tuna wachezaji wa mataifa tofauti mbona nao ni uozo mtupu
ishu sio uingereza ishu ni kudeliver hata Rooney, Ferdnand, Neville, Giggy, Beckham, Keane wote walikuwa waingereza
Hehehehe, eti Fainali.....
Aliekuambia Barca atafika final ni nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
And that is the truth. Issue sio mahusiano. Ni viwango vya wachezajiMahusiano na wachezaji hayawezi kukufanya ukashinda vikombe while the players are average
Kivipi sasa hujui kwamba hio ndio timu peke imefika hatua hii bilaa kufungwa yan unbeaten jan walkuwa wana relax kwa sabb walkuwa n uhakika wa ushindiiii mzeee usitegeme game inayofwata watacheza km janaaaaTuweke ushabiki wa Messi na Barca pembeni...
Ukweli ni kwamba Barca wameshinda kwasababu ya madhaifu ya kikosi cha Man utd... Hawajaonyesha performance yoyote ile ya kutiiiisha!!!
Kwaiyo usitegemee akikutana labda na Liver eti atapata mteremko kama kwa Man utd...
Ingawa wamewatoa man utd, Barca wanatakiwa waimprove performance yao... Vinginevyo hawafiki popote paleeee!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
wapi nimesema Sancho au Kane ni wachezaji wa City hebu highlight na ubold hiyo sentensi niliposema hivyoAliyekuambia Kane anachezea man city ni nani? Jadon sacho pia?? Nimegundua wewe sio mfuatiliaji wa mpira...
Can I save this comment for later use?Man u haina tofauti na fulham au cardif.
Mziki wa UEFA muachie Klopp, Barca ataenda kupigwa mpaka achake.
Kiukwel japokuwa siipend Man U, lakin sikuona mpira wowote wa Barca, ni udhaifu wenu kama wa ndugai kushindwa kuwabana wahuni wale camp nou.
Tupo kwa Blind, au roho yako inaumaJana walikimbilia kwa Cristian baada ya kwao mambo kuharibika, Cristian kafungashiwa virago sasa naona wana dalili zote za kuanza kujificha kwenye makwapa ya Liverpool
Aliyekuambia Kane anachezea man city ni nani? Jadon sacho pia?? Nimegundua wewe sio mfuatiliaji wa mpira...
Pogba sio saizi ya utatu mtakatifu wa Barca pale kati hadi dogo Arthur ni Bora kuliko pogba
Sent using Jamii Forums mobile app
Manchester United hamjui mpira, ile timu ni Hanna kitu, mnajua kelele tu lkn mpira hamjui mngejifanyia hata self assessment ni miaka mingapi mgululizo hamjachukua EPL...
Hivi kweli timu inategemea vikina rashford na Lingard ndo wachezaji tegemezi... Mna vi overate basi na nyie mnajiona mna wachezaji.
Manchester hamjui Moira kilichobaki ni kelele tu
Pamoja sana mkuu hakika umenena ya msingiHapana. Ndio maaana washabiki wametofautiana. Wako wanao ukubali ukweli( hawa ni wachache).. wako wanaokataa ukweli na kuishia kusifu.. hawa nddio wengi.
This time nimewaasa waukubali ukweli tu kuwa man u haina kikosi cha ushindani. Wanahitaj masssive revamp
Sent using Jamii Forums mobile app
ππPresha but still naiamini Man u
Imewauma sana kupigwa mbili na mfalme, utafikiri ndio mara yake ya kwanza kuwabandua πππ wanateseka sana masikini ya Mungu.