MwafrikaHalisi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 1,741
- 511
Kikosi dhaifu si mngeenda kushiriki ligi daraja la kwanza labda mtakutana na vikosi dhaifu vingine,EPL sio ya kuja na vikosi dhaifu.
Leo Mbwamwitu anakutana na Shetani unategemea atapona kweli??
Mkuu unajua kilichotokea kuwa wachezaji waliuzwa na wengine wakawa majeruhi lakini unajifanya mbishi. Sasa wewe una full kikosi. City akapiga 6 - 1, full kikosi unanyanyaswa na Bilbao. Utasemaje hapo?
Naomba ujikumbushe walichokufanya Wolves msimu uliopita, nyakati kama hizi.
KAKA kufungwa ni kufungwa hamna visingizio sisi tumefungwa na City,Basel,Newcastle,Bilbao,Blackburn na hatujatoa kisingizio.Mlipofungwa na Swansea,Blackburn,Milan mlikuwa na kikosi dhaifu?Ukizungumzia majeruhi sidhani kama kuna timu imekuwa na majeruhi kuliko ManU msimu huuMkuu unajua kilichotokea kuwa wachezaji waliuzwa na wengine wakawa majeruhi lakini unajifanya mbishi. Sasa wewe una full kikosi. City akapiga 6 - 1, full kikosi unanyanyaswa na Bilbao. Utasemaje hapo?
Naomba ujikumbushe walichokufanya Wolves msimu uliopita, nyakati kama hizi.
KAKA kufungwa ni kufungwa hamna visingizio sisi tumefungwa na City,Basel,Newcastle,Bilbao,Blackburn na hatujatoa kisingizio.Mlipofungwa na Swansea,Blackburn,Milan mlikuwa na kikosi dhaifu?Ukizungumzia majeruhi sidhani kama kuna timu imekuwa na majeruhi kuliko ManU msimu huu
Mimi nakubali kuna kipindi timu inazidiwa kiufundi kama kwenye case ya Bilbao,Man City na Wolves walipania game lakini mwisho wa siku bingwa ni bingwa tu.
Hoja ya kwamba mlikuwa na kikosi dhaifu haijasimama kwa sababu EPL haina haina nafasi ya kushinda kombe kwa viti maalumu either you are good or you are gone.
Mkuu historia huwa haidanganyi last time i checked mlipoteza Carling kwa timu inayocheza daraja la kwanza sasa hivi.