Mendy angekuwa mzuri kiasi hicho City wasingeingia sokoni kumtaja Ben chill well na kitakacho kuniweka mendy sokoni..... Mnabwabwaja hamjui soka wala nini wakuu mnaongea kishabiki sana.... Mendy ni kati ya weakness kubwa ya city jamaa hawezi defend kwakiasi hicho na anaassist nyingi sababu ya mchezo wanaocheza city tu ila sio Kama anauwezo wa juu
TAARIFA KWA UMMA.
Mr comeback Leo hatahudhuria kipindi chake hivyo basi mnaombwa kurejea nyumban kwa ajili ya maandalizi ya Toto part au futuhi next season.AHSANTENI
🙏🏽🙏🏽