Manchester United (Red Devils) | Special Thread

...kibelaaaaaaa.....yaani champions league mtolewe, na hii Intertoto cup pia mtolewe?.
msimu mmoja mnatolewa makombe mawili ya UEFA? ...hebu jikazeni bana....

Haitúumizi kichwa kutolewa kwenye kombe la mee kibela
 
Kibelaaa...mmefungwa na katimu kadogo tu Spain!
Imagine mngekutana na Barca ingekuwaje!
Kwa kweli wameiabisha EPL, kwenda kutolewa na timu iliyo nafasi ya saba La Liga! Sijui ingekuwaje kama ingekuwa Barca au Madrid!!?
 
Kwa kweli wameiabisha EPL, kwenda kutolewa na timu iliyo nafasi ya saba La Liga! Sijui ingekuwaje kama ingekuwa Barca au Madrid!!?
Tatizo la timu nyingi za Spain hazipo vizuri kifedha kama zilivyo za England. Wakiwezeshwa tu naamini wataliteka soccer la dunia!
 
Tatizo la timu nyingi za Spain hazipo vizuri kifedha kama zilivyo za England. Wakiwezeshwa tu naamini wataliteka soccer la dunia!

hilo ni kweli kabisa angalia wachezaji wao wanavyogoma daily migomo sasa hapo fergie atalia sana mpira hajui anasubiri bahati nasibu..
 
Amna kuchekana apa, epl wote tumeangukia pua (at least peasant aongee). Msimu wa nuxxxx huuuu!
 
enhee!hicho ndio nilichokuwa namaanisha!kwamba kama mimi kiboko yenu nimefungwa hivi maana yake nyinyi ninaowaongoza ndio utumbo kabisaaaa!

Hapana. Bahati na Howard Webb ndo inawafanya mko point moja mbele so haina maana kuwa timu zingine mbovu. Infact CHELSEA ametinga robo fainali UEFA Champions League na ni nafasi ya 5 kwenye EPL. Unasemaje kuhusu hilo?
 
hongereni sana, naona mmepangiwa man city kwenye champions league.
 
hongereni sana, naona mmepangiwa man city kwenye champions league.

Haya naona baada ya kuchaguliwa kujiunga na elimu ya sekondari umefuraaahi!! Sasa ngoja balaa lianze ndio utajua umuhimu wa uimara na hicho kikosi chako cha maveteran..Chelsea hau-graduate ng'oo kila siku mtaashia kushiriki Champions League,utarisiti mtihani milele..
 
Vipi umeshasahau hii

OT: ManU 8 Arsenal 2
Emirates: Arsenal 1 Manu 2
On agregate
ManU 10 Arsenal 3

Ile 8-2 mlicheza na kikosi dhaifu tu. Na una bahati tumemalizana maana saivi tukikutana hutoki.

By the way, naomba nitoe taarifa mapema kwamba Wolves wanakuaribieni sherehe leo
 
Ile 8-2 mlicheza na kikosi dhaifu tu. Na una bahati tumemalizana maana saivi tukikutana hutoki.

By the way, naomba nitoe taarifa mapema kwamba Wolves wanakuaribieni sherehe leo

Kikosi dhaifu si mngeenda kushiriki ligi daraja la kwanza labda mtakutana na vikosi dhaifu vingine,EPL sio ya kuja na vikosi dhaifu.

Leo Mbwamwitu anakutana na Shetani unategemea atapona kweli??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…