Multrilionare
Member
- Jul 29, 2018
- 56
- 82
Nilikua shabiki mkubwa sn wa Ole kutaman apewe team, lkn kwa jins anavomtreat lukaku ata sina hamu nae tena, lukaku anafanya kazi kubwa sn hata kuliko alipokuwepo mourinho, lkn haka kazee ole ata hakamthamini. Anakiacha kilingard kinakata tu mauno mle ndani anamtoa mchezaji nje. Ivi ole anatumiaga akili au matope???? Eti lukaku anawekwa bench na rashford na lingard, hichi nacho ni kichekesho kingine!!!√Fred ananipa matumaini..ni mchezaji pekee anayefanya atleast majukumu yake perfectly kwa sehemu kubwa kwa kipindi hiki..akiacha ile ball giveaway ambayo anaitoa moja kila mechi basi ile nafasi ni yake..Very Promising
√Ni wazi Ole hampendi Lukaku,na kwa minajili hiyo ni bora amweke sokoni mapema ili alete ambao yeye anawataka au awapange vizuri anaowataka..
-That big man did great work lakini hathaminiki hata kidogo
-Lukaku anaweza akawa sio world class,lakini kwa ubovu wa timu yetu sio wakuzidiwa na Lingard na Martial na hata Rashford kwenye priorities
√Next stop ni Nou camp..let's support our club
HakaNilikua shabiki mkubwa sn wa Ole kutaman apewe team, lkn kwa jins anavomtreat lukaku ata sina hamu nae tena, lukaku anafanya kazi kubwa sn hata kuliko alipokuwepo mourinho, lkn haka kazee ole ata hakamthamini. Anakiacha kilingard kinakata tu mauno mle ndani anamtoa mchezaji nje. Ivi ole anatumiaga akili au matope???? Eti lukaku anawekwa bench na rashford na lingard, hichi nacho ni kichekesho kingine!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi sina imani na ole kuanzia Jana.Nilikua shabiki mkubwa sn wa Ole kutaman apewe team, lkn kwa jins anavomtreat lukaku ata sina hamu nae tena, lukaku anafanya kazi kubwa sn hata kuliko alipokuwepo mourinho, lkn haka kazee ole ata hakamthamini. Anakiacha kilingard kinakata tu mauno mle ndani anamtoa mchezaji nje. Ivi ole anatumiaga akili au matope???? Eti lukaku anawekwa bench na rashford na lingard, hichi nacho ni kichekesho kingine!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Unasemaje kuhusu performance ya Martial japo Jana?
Hamna kitu kwa mechi ya jana scot anamzidi huyo Ricekwa uwezo wangu mdogo niliyonao kila camera inapoenda ndiyo na mimi nafatisha kwa dakika hizi 45 za kwanza sijaona hasa alichomshinda McTominay labda Solskjaer ameona zaidi
Lukaku ni world class trust me. Timu aliyopo inamficha kwa sasa√Fred ananipa matumaini..ni mchezaji pekee anayefanya atleast majukumu yake perfectly kwa sehemu kubwa kwa kipindi hiki..akiacha ile ball giveaway ambayo anaitoa moja kila mechi basi ile nafasi ni yake..Very Promising
√Ni wazi Ole hampendi Lukaku,na kwa minajili hiyo ni bora amweke sokoni mapema ili alete ambao yeye anawataka au awapange vizuri anaowataka..
-That big man did great work lakini hathaminiki hata kidogo
-Lukaku anaweza akawa sio world class,lakini kwa ubovu wa timu yetu sio wakuzidiwa na Lingard na Martial na hata Rashford kwenye priorities
√Next stop ni Nou camp..let's support our club
Nafikiri tunatofautiana sana namna tunavoangalia mpira na kuutafasiri. Kwangu lakaku ni bora sana kwasababu ana_offer vitu vingi sn uwanjani, anasimama kama main man pale mbele na akiwepo beki hazina amani, anatokea pembeni na analeta cross za mana kana kwamba ni natural winger. Yupo physical na anaweza ku_hold mipira kule mbele huku akiwasubiri wenzie wapande mana kumbuka team yetu inacheza deep zaidi kwaio huku mbele tunakuwa hatupo saana[emoji24][emoji24], vitu ambavyo ivyo vitoto vya kiingereza haviwezi kufanya.Hapana lukaku hakabi, anapiga mauno kule mbele, siku za hivi karibuni, ole alimudu kwa kimchezesha winga, na ndio maana mnamuona lukaku anang'aa japo bado, rashford na lingard ni fighter sana, tuwe wakweli na wachezaji wwtu, kasoro ya timu yetu inawwchezaji wengi injury, timu ya backup haipo, inawakuta wanaset mind zao kwa mechi ngumu ya barca. Mtaamini watakavyokipiga na Barcelona
Haka
hebu weka angalau na sababu ambayo ni dhaifu utaeleweka kuliko kusema bure tuBinafsi sina imani na ole kuanzia Jana.
walau second half nilimuona kapokonya sana mipiraHamna kitu kwa mechi ya jana scot anamzidi huyo Rice
Tatizo ni ule uingereza uingereza ila huyo dogo wala siyo big deal!Kuna muda unahitaji u-contain pressure ya mchezo, wewe kama mido wa chini ndo unaiona timu yote, mpira unaupeleka wapi ili tufunge, wapi ili tuanze shambulizi,
Aiseeee, kuna sababu hadi leo hii bastian shweisteiger aliitwa midfield general,
Mido sio tackling tuuu kila saaa,
sasa umeshaongoza mmoja, alafu watu wanakuja kama nyuki, unalinda vipi matokeo?? kwa kufanya tackling pekee??
Si utakula umeme chap, lazima ucontrol tempo ya mchezo, game inazidi speed na mnataka muende slow, mido wa chini ndo anaepooza game, au kuiharakisha,
Rice is far from being a great mid, heri mctominay analeta matumaini....Kwangu Mimi Declan Rice Sio chaguo Sahihi kwa Man United kwasasa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukiendelea kutukuza uingereza uingereza timu hii itapoteana sana. Kwanza waingereza hawana vipaji vikubwa kama wanavyonadiwa na media. Ukaribu Wa Ole na Mzee ferg Labda yaweza kuwa ni msingi Wa ole kutaka kutukuza na kukumbatia waingereza mana huyu Mzee nae alikuwa hivyoNafikiri tunatofautiana sana namna tunavoangalia mpira na kuutafasiri. Kwangu lakaku ni bora sana kwasababu ana_offer vitu vingi sn uwanjani, anasimama kama main man pale mbele na akiwepo beki hazina amani, anatokea pembeni na analeta cross za mana kana kwamba ni natural winger. Yupo physical na anaweza ku_hold mipira kule mbele huku akiwasubiri wenzie wapande mana kumbuka team yetu inacheza deep zaidi kwaio huku mbele tunakuwa hatupo saana[emoji24][emoji24], vitu ambavyo ivyo vitoto vya kiingereza haviwezi kufanya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuunga mkono kuhusu Rice, but naamini scot bado hajafiti kuwa DM, ndio maana OLe kamsogeza mbele(box to box).Kuna muda unahitaji u-contain pressure ya mchezo, wewe kama mido wa chini ndo unaiona timu yote, mpira unaupeleka wapi ili tufunge, wapi ili tuanze shambulizi,
Aiseeee, kuna sababu hadi leo hii bastian shweisteiger aliitwa midfield general,
Mido sio tackling tuuu kila saaa,
sasa umeshaongoza mmoja, alafu watu wanakuja kama nyuki, unalinda vipi matokeo?? kwa kufanya tackling pekee??
Si utakula umeme chap, lazima ucontrol tempo ya mchezo, game inazidi speed na mnataka muende slow, mido wa chini ndo anaepooza game, au kuiharakisha,
Rice is far from being a great mid, heri mctominay analeta matumaini....Kwangu Mimi Declan Rice Sio chaguo Sahihi kwa Man United kwasasa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu usimlinganishe Rashford&Lingard na vitu vya kijinga.Msimu ujao nitaacha kuishabikia Manchester United kama forward wataendelea kuwa Martial Rashford na Lingard
Lukaku tulimpumzisha ili Jumanne akawaue Barca..Makocha sometime nao huwa wanajichanganya
Yani unamwacha Lingard na Martial, halafu unamtoa Lukaku
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Ole anampenda sana Lukaku ndio maana anataka akacheze kwenye usiku wa mabingwa jumanne. Hataki aumie huku mchangani.√Fred ananipa matumaini..ni mchezaji pekee anayefanya atleast majukumu yake perfectly kwa sehemu kubwa kwa kipindi hiki..akiacha ile ball giveaway ambayo anaitoa moja kila mechi basi ile nafasi ni yake..Very Promising
√Ni wazi Ole hampendi Lukaku,na kwa minajili hiyo ni bora amweke sokoni mapema ili alete ambao yeye anawataka au awapange vizuri anaowataka..
-That big man did great work lakini hathaminiki hata kidogo
-Lukaku anaweza akawa sio world class,lakini kwa ubovu wa timu yetu sio wakuzidiwa na Lingard na Martial na hata Rashford kwenye priorities
√Next stop ni Nou camp..let's support our club
Hivyo vitoto vipumbavu Hatuwezi kushinda kitu Kwa kuvitegemea hivyo
J4 sanchez aanze LW, badala ya huyo mvivu.