Ni wapubavu.. nimeona jamaa wanakasiriks hadi wanashikana mashati kwenye vibanda vya kucheki Mpira..
Kocha wmwetu na nani ?Kazi sina ila ukocha siuwezi. Naona wewe umeiva hadi unamkosoa kocha wenu.
Kwa upande wangu naona tatizo lilikuwa kule mbele.tutaongea lugha moja once OGS akipata mahitaji yake
tumecheza vizuri somehow
Naona umeamua kuwatania kikubwa.Nikiangalia Game zenu vs Juve na vs PSG zinaniaminisha kuwa nyinyi ni wazee wa comeback.. Barca ajiandae kisaikolojia kwa comeback
Kikosi cha ovyo? wewe ulitaka acheze nani? na unajua majeruhi ya timu kuelekea game ya jana mkuu??Leo kuanzia kocha mpaka wachezaji walipanic.
Kocha alishindwa kupanga kikosi cha kazi na bado ankfanya sub za hovyo.
Wachezaji ndio ilikuwa full kupoteana pale kati, yani hawaonani, pasi hazifiki.
Kufupi tulistahili kupigwa hata saba.
Hakuna tu anashangilia kufungwa sema wewe ndiye unaumia kwa aina ya ushindi waliopata Barca. Camp Mou utaona. Hatuna cha kupotezaMtu akistuka usingizini anaweza kujua manyuu ndio imeshinda kwa jinsi mnavyoshangilia kufungwa goli 1
Hv huyu dogo raia wa wapi?atakapoondoka marcos rojo hii namba 16 ni bora apewe scott mctominay, sielewi kwa nini tunataka kuingia kwenye mtego wa media za kiingereza za kutaka kumsajili declan rice.
hivi rakitic pamoja na arthur melo walikuwepo uwanjani?kama yupo mdau anayeamini siku moja rashford atakuwa mchezaji bora basi aendelee kuwa na imani hiyo mpaka kufa kwake.
man utd 0 barcelona 1
View attachment 1068168
So kweli. Timu ilikuwa ok.Leo kuanzia kocha mpaka wachezaji walipanic.
Kocha alishindwa kupanga kikosi cha kazi na bado ankfanya sub za hovyo.
Wachezaji ndio ilikuwa full kupoteana pale kati, yani hawaonani, pasi hazifiki.
Kufupi tulistahili kupigwa hata saba.
Unaonekana huelewi unachoongeaNimeuliza tu, maana unashadadia ovyo ,wakati EPL hulijui, na Chelsea wikiendi wanakuja kukuharibia
turin ilikuwa enzi za Jose Mourinho.pia hii timu toka aje ole inafanya vzr zaid away kuliko nyumban.. tumeshinda emirates..turin...paris...darajani..
Hata bila majeruhi, kikosi cha leo ndicho sahihi sema tu Rash. Ningekuwa Ole ningembadilisha Perreira acheze fowardKikosi cha ovyo? wewe ulitaka acheze nani? na unajua majeruhi ya timu kuelekea game ya jana mkuu??
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa huwa hajifunzi sijui au ndo kuishiwa maana anapenda kupiga long ball ambazo most of the time hazifiki sehemu husika lakini haachi.Tonight, Ashley Young lost possession a total of 32 times and attempted 11 crosses with 0 meeting their target. No player on the pitch lost possession more or had a worse crossing rate than him.
Tominay anapaswa kuwa regular stateratakapoondoka marcos rojo hii namba 16 ni bora apewe scott mctominay, sielewi kwa nini tunataka kuingia kwenye mtego wa media za kiingereza za kutaka kumsajili declan rice.
hivi rakitic pamoja na arthur melo walikuwepo uwanjani?kama yupo mdau anayeamini siku moja rashford atakuwa mchezaji bora basi aendelee kuwa na imani hiyo mpaka kufa kwake.
man utd 0 barcelona 1
View attachment 1068168