Smart Guy
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 6,880
- 7,021
Hii gemu ya leo inavyonitia presha ni kama umechukuwa mke wa mtu halafu unapewa habari mwenye mke kajuwa na anakutafuta.
.
Smart guy
Hii gemu ya leo inavyonitia presha ni kama umechukuwa mke wa mtu halafu unapewa habari mwenye mke kajuwa na anakutafuta.
.
Alafu wewe mzee wa asenane hilo li signecha lako linaboa kinoma asee dah.Labda tatu mzuka
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba


HahahahaaBreaking news
*Messi ameamka mzima wa afya, huku akisema "jiji la Manchester lina hali ya hewa safi sana kwa kazi"*
Sent using Jamii Forums mobile app
Marufuku kukata tamaa, ukiwa mkata tamaa, hutafanikisha jambo kubwa maishani. Pambana mpaka dakika ya mwishoOle awaambie vijana wake wacheze tu Mpira ... Wawe huru maana mechi tusha shindwa...
Atleast tujivunie ball possession...
4:00