Namsikitia sana Smalling/Jones wakikutana na Messi Nou Camp...Naona goli 4/5 zikipatikana.Manchester United wangeweza cheza kama Atlatico Madrid mechi ya Jumanne ingekuwa nzuri maana kasi ya Barcelona sio ya mchezo mchezo
Si ndy hapo sasa.....yan kila kitu kipo waziHivi Team Kama Barcelona Unaingalia Ili Iweje Maana Inajulikana Kabisa Inavyocheza Pique Anapiga Kwa Rakitic, Rakitic Anapunguza Wa Kwanza Anapiga Mpira Pemben Kwa Messi Messi Anapiga Mtu Kanzu Anaweka Kwa Suarez Suarez Anatisha Anaweka Pemben Kwa Coutinho Coutinho Anarudisha Kwa Messi Messi Na Degea Mama Yangu Degea Analala Chin Mpira Unapigwa Banana Gooooooooaaaaaal Mwisho Wa Siku Barcelona 4 Nyumbu 0
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Hakuna kinachosaidia yeye kuenda kuangalia Game ya Barcelona timu inatakiwa ikomalie Top 4 tuelewane hata tukimfunga Barcelona hatuwezi kuchukua ubingwa bila kuwa na mipango sahihi msimu ujao timu itaenda Futuhi na wachezaji wazuri watahama timu

I see them smilling bcoz their mission of seeing mess is accomplishedLadies and gentlemen..... Here's our biggest fan ndani ya machinjio...
You better get scared... Bcoz we are coming for you View attachment 1064595