OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Wewe nimukuuliza Odoi pale assanal nani anamueka benchi?Cheltako bhana, sasa yule ni mchezaj wakupiga kelele
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Hapati hata namba ,unadhan emery anaweka wapuuz, ana uwezo wa kumuweka nje mick na Auba?
Hata Mwenyekiti wa bodi ya Arsenal akicheza namba moja na Odoi, Odoi hapati namba.
Hahahahaha, Sterling former Kop
Sasa hivi ni Citizen, halafu unategemea aje United
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo yuko vzuri sana, akikutana na PEP atakuwa vizuri zaidi.Hiyo ni copy ya Sergio busquets wao wa Hispaniola wanauita the new busquets.
Kwa nini asiweze? uyo mick Si ni bench warmer tu apo assanal?!!Hapati hata namba ,unadhan emery anaweka wapuuz, ana uwezo wa kumuweka nje mick na Auba?
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Unaandika utumbo wakati Odoi akitaka kuja Assanal mtampokea na no. ya kudumu atapata kabisa..Hata Mwenyekiti wa bodi ya Arsenal akicheza namba moja na Odoi, Odoi hapati namba.
Hata Mwenyekiti wa bodi ya Arsenal akicheza namba moja na Odoi, Odoi hapati namba.
Hawezi kupata namba hata ndotoni.Unaandika utumbo wakati Odoi akitaka kuja Assanal mtampokea na no. ya kudumu atapata kabisa..
Sent using Jamii Forums mobile app
3. Bailly
4. Smalling
5. Jones
Nakubaliana na wewe ila kwa Lukaku na Smalling napingana na wewe..Ole afanye jambo moja muhimu tu next season.
Auze wachezaji hawa
1.Sanchez
2. Pogba
3. Bailly
4. Smalling
5. Jones
6. Lukaku
7. Valencia
8. Darmian.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaongea pumba kweli ww cheltako ,Kwa nini asiweze? uyo mick Si ni bench warmer tu apo assanal?!!
Uyo Auba msaliti haezi pata club yeyote England hata crystal Palace isipokuwa arsenal tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rodrigo hernandez(Atletico Madrid)
Kiungo mzuri sana, angetufaa kama DM.
Naona City wakimchukua.
Sent using simu mbovu
Lukaku na Smalling wabaki....kweny list muweke mata japo bas tu ila muwekeOle afanye jambo moja muhimu tu next season.
Auze wachezaji hawa
1.Sanchez
2. Pogba
3. Bailly
4. Smalling
5. Jones
6. Lukaku
7. Valencia
8. Darmian.
Sent using Jamii Forums mobile app
TeheeeeeDaaah POGBA anazingua kisnge eti anataka mshahara wa Euro 500,000 kwa wiki au kama hawezi kulipwa eti anataka asepe zake
Teheeeee
Ashauza jezi za kutosha akauze na Real Madrid sasa
Anashindana na Sanchez
Sent using Jamii Forums mobile app