Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ole alipaswa kuwa na msimamo sawa na mwenzie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Odoi is crap

Rice is crap

They are all moderate, can't take us from where we are

Better promote Chong,

Better promote Alliu Traore instead of those English over hyped players

Better promote Mason a deserved English player to get the nod

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ain't easy man hyo mentality iko mpka kwa baadhi ya united legends let's see lakn naamin ata ole n muumini wa wachezaj wa kingereza pia
Sent using Jamii Forums mobile app
 
naapa na mungu hii video declan rice imenishangaza sana nilipokuwa naiangalia muda huu, wala sihitaji kupoteza tena muda wangu kuangalia mechi ya west ham ili nimuone huyu bwege.
jamani mafundi wapo tele duniani
 
Vizuri sana, me pia nawasikitikia wanao mlaumu Pogba. Ingelikuwa mimi pia ningefanya hivyo na zaidi.Club tajiri zaidi duniani, unaona haya kuomba Pound 500,000/- per week??
 
Ain't easy man hyo mentality iko mpka kwa baadhi ya united legends let's see lakn naamin ata ole n muumini wa wachezaj wa kingereza pia

Sent using Jamii Forums mobile app
basi atuletee raheem sterling, harry kane pamoja na kyrian trippier kama ana shida ya waingereza na hao wote washaizoea ligi.
madrid walimsajili luis figo kutoka barcelona na sisi tufanye hivyo.
😾😾😾😾​
 
The real definition of a mercenary

Pogba hawezi kupata huo mshahara popote duniani labda kwa wale watu wafupi wenye macho madogo wanaoishi Asia

Vizuri sana, me pia nawasikitikia wanao mlaumu Pogba. Ingelikuwa mimi pia ningefanya hivyo na zaidi.Club tajiri zaidi duniani, unaona haya kuomba Pound 500,000/- per week??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wale wenye Azam king'amuzi cheki channel 404 United under 23 wanacheza na West Brom pale Old Trafford

Waangalie akina Gomes, Chong, Greenwood, Nishan Burkat, Dylan Levett, Ramazan, Bohui & co

Pia Rojo yupo nadhani kwa ajili ya kupata match fitness na Pereira kwenye midfield

Ngoja niangalia nikivutia kasi mechi ya Liverpool

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani, labda auzwe next season

Unajua Pogba msimu huu ukiisha anabaki na miaka 2 kwenye mkataba na bado club ina option ya kumsainisha mwaka mmoja mwingine, hivyo kuondoka ni ngumu sana unless united awe amepata mbadala

Kumbuka United ana mpango wa kuondoa wachezaji kama 6, na kununua kama 4 kwa hiyo wafanya maamuzi watakuwa bize sana hii summer

Kwahiyo kwa deal ambazo hazina haraka hawataangaika nazo
Unataka kunambia Tutamuachia??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…