Kikwazo ni Chelsea tu sababu ana tabia ya kupandisha kiwango chake akicheza na sisi!Jogoo hachukui ubingwa
Ndoto nyevu iyo ni rotation tyu ya kikosi inafanywa na pepKikwazo ni Chelsea tu sababu ana tabia ya kupandisha kiwango chake akicheza na sisi!
Nikimfunga Chelsea naanza party home maana Man City kachoka sana hata Spurs hamfungi achilia mbali Man U na CP
Magazeti yenyewe ya waingereza mlitegemea yawapigie chapuo wachezaji wa kibrazil? It is impossible
Lazima yatakuwa biased kwa kiwango fulani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa lugha rahisi manure kubeba ubingwa EPL mpaka misimu 4 ijayo kuanzia SASA(huu)Tusiwe biased kwenye hiyo list ni wachezaji wawili tu ambao kwa msimu wanacheza angalau match tano hivyo ulitaka awekwe smalling over bailly ambaye msimu huu hajafanya lolote la maana kikosini ?
Au ulitaka awekwe young over Damian ambaye msimu unakaribia kuisha amecheza mechi Moja?
Tunataka overhaul lakini siyo overhaul ya kivuta bangi na kwa hali ya team ilivyo tusitegemee hata kama team itanunua wachezaji kumi at once tutabeba EPL next season team itahitaji kukaa pamoja angalau for a season.
Mpira hauna mafanikio ya haraka kama kuoka mikate lazima tuwe na subira na mipango ya kutuondoa hapa tulipo.
Sent using Jamii Forums mobile app
The only reason solksjaer ni kocha wa Manchester is because he's cheap and ni Mr. Yes sir,Nadhani ogs anafanya kazi kwa kukariri zaidi ila si kuangalia uhalisia. Wachezaji tulionao kipindi cha fergie walitosha kutupa makombe kwa kuwa timu pinzani zilikuwa dhaifu zaidi lakini zama hizi timu zinatofauti ndogo sana kiuwezo hivyo tulitakiwa tuwe na cream nzuri zaidi ya wachezaji kutokana na ukwasi wetu.
ggmu
You guys you are so funOk hajafanya improvement yoyote, but alipokuwa anachukua timu tulikuwa points 11 kutoka nafasi ya nne ,kwa sasa tuko points 3(5) kutoka position hiyo.
Sent using simu mbovu
Soda ilikua inauzwa 70/=, saizi inauzwa 600/=, hii unaona ni sawa, lakini kwenye mpira wachezaji kupanda bei unailaumu Manchester, hujui kama mpira ni biashara?Man U destroy football market.
They bought Pogba for £79m, every team started demanding more than Pogba deal.
They pay mega salary to Alexis Sanchez, now Herrera wants more, De Gea wants £350,000 per week.
Pogba wants £500, 000 per week...
Other team's players could demand same thing as done in Man u players
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Kipind pogba anavunja rekod,na Sanchez analipwa 500k ,soda ilikuwa 70/=??Soda ilikua inauzwa 70/=, saizi inauzwa 600/=, hii unaona ni sawa, lakini kwenye mpira wachezaji kupanda bei unailaumu Manchester, hujui kama mpira ni biashara?
Sent using Jamii Forums mobile app
You are assnal fan, may be ndio maana ni ngumu kuelewa, i don't blame you.Kipind pogba anavunja rekod,na Sanchez analipwa 500k ,soda ilikuwa 70/=??
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
wakati Sanchez analipwa 500k unajua Ronaldo, Messi, Bale, Neymar, Lavezzi, Oscar na Tevez walikuwa wanalipwa hela ngapi??Kipind pogba anavunja rekod,na Sanchez analipwa 500k ,soda ilikuwa 70/=??
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
You are nyumbus fan ,huwez kuelewa chochote ,You are assnal fan, may be ndio maana ni ngumu kuelewa, i don't blame you.
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kubwabwaja, mpaka aje tony pulis kocha wa ndoto yakoYou are assnal fan, may be ndio maana ni ngumu kuelewa, i don't blame you.
Sent using Jamii Forums mobile app
Assnal fans has a gut to talk about the premier league, 15 years and countingEndelea kubwabwaja, mpaka aje tony pulis kocha wa ndoto yakoView attachment 1063026
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Mkuu wapumzishe kidogo utawauwaEndelea kubwabwaja, mpaka aje tony pulis kocha wa ndoto yakoView attachment 1063026
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Assanal has a gut.....you killing me brooAssnal fans has a gut to talk about the premier league, 15 years and counting
Sent using Jamii Forums mobile app
😛😛😛