Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Poa mkuu tutajitahidi tujiokoe, katika kujiokoa tutawabust na nyieMsiniangushe sasa, maana mimi nimewanyooshea Tottenham, kwa hiyo rudisheni fadhila kwa City.
Sikuichukulia poa kabisa hii timu, kwa sababu nimeangalia mechi zote hizo hapo juu. Wanacheza sana mpira, wako vizuriDecember 5: Wolves 2-1 Chelsea
December 29: Spurs 1-3 Wolves
January 7: Wolves 2-1 Liverpool
March 16: Wolves 2-1 Man Utd
Tonight: Wolves 2-1 Man Utd
Nuno's at the wheel
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Kama imekuumiza sana njoo tupigane mangumi.
mbona huyu mbwa unamjua (wolves) na amekupa taabuBundi pita hakuna msiba hapa
Mbwa ukimjua jina hata hakusumbui
Nani anamtaka Pogba tena hapa??
Hii sio UNITED! Uza players wote tubaki na Rasford, De Gea na Show wengine woote hawana sifa za kucheza hapa.
Afu kuwa positive ni sawa ila kutetea ujinga ni upumbavu, OSG alisema haitaji beki!! Hivi ni kweli hatuhitaji beki??
Tunampenda ila ajue mafanikio ya team ndio furaha yetu si hizo posivities zake na aache unafiki, tunataka wachezaji wazuri UNITED.
Hata bila red mlikua mnafungwa tu na hata smaling asingejifunga mlikua mnafungwa tuOle ndo alimwambia Young akapigwe red? Au Smalling akajifunge?
Ulitaka nani awe kocha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kama nani? Au upo ata kwenye bajet ya man u???Young
Smalling
Jones
Lingard
Valencia
Darmian
Sanchez
Rojo
Matic
Wauzwe kesho asubuhi.
Fred aende mkopo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahahahah punguza hasara mkuu tunaomba utuletee Article za uchambuzi basi wa mechi ya jana.
Hayo ndio mafanikio ya timu? Kweli nyumbu mmeishiwa hadi mnajivunia viewers? Timu ambayo ukitaka kuelezea mara ya mwisho kuchukua Epl unaanza na "Hapo zamani za kale" haaaaaaaThread yetu imefikisha replies 107k na views 3M.
Hakika MUFC ni timu kubwa na yenye mashabiki wengi. Ni hivi vitoto vinatuangusha tu.
Ni ukweli ulio wazi kwamba timu nyingine hazina mashabiki bali zinashabikiwa na wenye chuki na MUFC.
Hahahahahahahahah punguza hasara mkuu tunaomba utuletee Article za uchambuzi basi wa mechi ya jana.
I CARE