Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hahaaaaa

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Man u has rejected offers from Real Madrid who has shown interest of signing Chris Smalling. Madrid are reported that they are willing to pay £ 120 Million plus Benzema. But man u has confirmed that they are not interested with that business.

Sources: Kolomije TV.

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Watu bana.. Kuna Mtu kaaweka status kwamba "Man u mkitaka kufuzu UCL quoter final mpunguze bei ya Heinken
"

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Wakuu poleni na matokea haya, bado niko na ninyi kuhakikisha kwamba haya matokeo yanawauma hivyo mcheze kufa kupona dhidi ya City.
Sisi watu wa arsenal tunaomba man city amkarange manyua ,pia game na Chelsea iishe sare

Kwa mpira ule wa Watford na ule wa Jana wa wolves ,unawadhamini vip man u?

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Derby ni kitu ingine mkuu, mwaka jana Man Utd alifanya comeback ya 2 - 0 na kumaliza game kwa 2 - 3.

So ninawaamini Man Utd.
 
Young
Smalling
Jones
Lingard
Valencia
Darmian
Sanchez
Rojo
Matic

Wauzwe kesho asubuhi.

Fred aende mkopo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh yani tumekuwa team ya ajabu.
Kutoka kuwa best team in england. Siku zinaenda aise ,yote haya sababu ni Poor management from owners.

Sent using simu mbovu
Inasikitisha mno.

Florentino Perez namkubali sana. Kama aliweza muuza CR7, basi angekuwa Man Utd angeshauza kikosi kizima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…