Bad night, inaumiza kuchapwa na hawa jamaa. Sijui kama kweli tupo serious na top four.
Hodi hodi majirani naona kumekucha ,mda si mrefu tunafunga turubai.
Tukithubutu kufanya hivyo tunalipishwa fine kubwa kabisa na ban ya miaka kadhaa. Wanahitaji hela za viingilio na matangazo ya TVs. By the way miujiza ipo kwenye football. Mbona PSG wakiangalia mechi hizi wanachanganyikiwa kwa jamani.
Tuandike barua UEFA kuwaomba Barcelona waendelee na hatua inayofuata, vinginevyo tutadhalilika.
Kukubali kufungwa nje ya uwanja ni umama uliotukuka!
Tukithubutu kufanya hivyo tunalipishwa fine kubwa kabisa na ban ya miaka kadhaa. Wanahitaji hela za viingilio na matangazo ya TVs. By the way miujiza ipo kwenye football. Mbona PSG wakiangalia mechi hizi wanachanganyikiwa kwa jamani.
HahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaMkuu huyu Ole Soksi nakuhakikishia atafukuzwa kazi kabla ya Christmas msimu ujao............. hakuna kocha hapo zaidi ya kujikombakomba kwa kina Pogba, Rashford tu
HahahahahahahahahPoleni sana Manchester United imeshakuwa timu ya long terms project all over mmekwisha mmebakia kuwa timu ya Cheap cheap cheap option 😂😂😂😂😂
Tukithubutu kufanya hivyo tunalipishwa fine kubwa kabisa na ban ya miaka kadhaa. Wanahitaji hela za viingilio na matangazo ya TVs. By the way miujiza ipo kwenye football. Mbona PSG wakiangalia mechi hizi wanachanganyikiwa kwa jamani.
Umenifanya nicheke wakati naumia!Hii ID😯😯
Na ubaba ni kubamizwa sita home and away. Jumla 12
Michezaji yote mibovu.Mkuu kama unaangalia mpira utajua hawa watoto wanajua nini wanataka,wana timu ila sisi tuna mchezaji mmoja mmoja.
Tangu nimeanza kushabikia MUFC sijawahi ona timu ya hovyo kama hii.
Tangu Ferguson aondoke tumekuwa na majaribio ya makocha kama vile Kim Jong Un na makombora yake.Ole is overrated hamna kocha kabisa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Umenifanya nicheke wakati naumia!
Haya bhana