Kumleta Technical Director ni habari njema kabisa.Manchester United boss Ole Gunnar Solskjaer says he is ready to work alongside a technical director to "split responsibilities".
After Jose Mourinho's sacking, United sources indicated the club wanted to change its structures and bring in someone who could have an input into all major footballing decisions.
Despite Solskjaer's permanent appointment last week, it is understood that remains the case with United hopeful of making an announcement by the start of next season.
The 46-year-old was given a three-year contract on Thursday.
"I'm happy talking and discussing football with knowledgeable people in the right positions," said Solskjaer.
"The demands of football nowadays mean you definitely have to split responsibilities." Source
Watafute njia ya kuachana na Sanchez.Hii yote katuharibia Edwoord baada ya kumsajili Sanchez ambae anacheza hovyo, hana impact kwenye timu lkn analipwa mihela bwelele ndo kasababisha kila mchezaj sasa ku-demand mshahara mkubwa.
Hivi unadhani Martial anastahili kulipwa £200k?? Lakini alitingisha kibirit kuondoka na kutosaini mkataba mpya hyo yote sabab ya Sanchez.
Na jiulize hivi hata Martial angeondoka nani angekubali kumpa mshahara wa £200k so ilikuwa panic ya club kumpa mshahara mkubwa hivyo japo ana umri mdogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Napenda Leo man u avutwe Shati, ila naona kama atashinda ,sidhan tena atakubali kufungwa na wolves
hilo lao.Manchester United ama Manugu FC
wako katika wakati mgumu kwa sasa :
Its either wapige Man City na waruhusu Liverpool Wabebe kikombe ama wajilegeze kwa Man City na wacheze na Chernobly FC Europa Next season.
Kipi bora Manugu Fans?
The Choice Is Yours bitch!
Labda ningeweka kumbukumbu sawa kwanzaKambi ya Herrera pia ilitumia hii opportunity kutaka mshahara mpya lkn kwa umri wa miaka 29 hastahili kulipwa hizo £200k kwa wiki sabab mbali na upambanaji wake Herrera na love alinayo kwenye club lkn tuseme ukweli sio mchezaj wa kiwango kikubwa sana zaidi tunachompenda ana ile fighting spirit...
Hao PSG tu wamemuahidi £150k why sisi tumpe 200k toka £75k kwa jumla kwa mchezaj wa miaka 29 anaelekea 30.
Fellain mzee baba alikuwa hafiki £150K kwa juma na kuuzwa £25m ni kutokana na eneo aliloelekea China ww unadhan nani ulaya alikuwa tayari kulipa zaidi ya £13m kwa Big Fella kutokana na umri wake + kiwango duni.
Club wanatoa hela tatizo uwezo wa convincing kwa Ed Edwood kupata wachezaji bora on bargain ndo shida au kukamilisha dili on time lkn club sio wabahili sana kwenye pesa.
Aende Herrera lete Tanguy Ndombele naona bado timu itaenda Ku balance alaf kuondoka kwa Herrera sio lazima united ikaenda kusain ma-mido wawili wapya sabab eti walikuwa na demand na mido mmoja before. Mmoja tu anatosha zaidi labda auzwe mwingine ili kuingia mwingine.
Club sasa inajitahid kuondokana na kulipa mishahara ya kichizi kwa wachezaji wake alaf viwango vyao vya kawaida pia itaondosha kwa wachezaji wapya watakaoingia ku-demand mishahara mikubwa.
Pia kuna kitu braza kinaitwa financial fair play (FFP) so huwezi kutoa mihela tu huku vitabu vyako vya matumizi haviingizi kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbi tutaiweka hapa leo ............... Kamati ya mazishi ijiandae mapema msiba wa leo utasikitisha watu wengi.
HahahaKumbi tutaiweka hapa leo ............... Kamati ya mazishi ijiandae mapema msiba wa leo utasikitisha watu wengi.
Fellaini hajawahi kulipwa £300,000 hata huko China mshahara wake ni £235,000 baada ya kuongeza mkataba mwaka jana mshahara wake ulikuwa £100,000Labda ningeweka kumbukumbu sawa kwanza
Fellaini alikuwa ni mchezaji wa tatu kwa wachezaji wanaolopwa mpunga pale United, alikuwa analipwa £300K + kwa wiki (tembelea sources zitakuthibitishia hili) na hii ikisababishwa na Jose kumuhitaji sana na kwa kuwa alikuwa kama free transfer (hakukuwa na gharama za ziada kama za kumnunua). Lakini club ililazimika kumpa mpunga mrefu sababu walisubiri mpaka dakika za mwisho, club ingemsainisha mwaka mmoja kabla kwa mfano, asingelipwa hicho kiasi cha fedha. Fellaini amewahi kusema kuchelewesha kumpa mkataba make things difficult kwa club kwenye mazungumzo.
Nakubaliana na wewe kwa asilimia zote Herrera sio mchezaji wa kulipwa £200K kwa wiki.
Lakini kumpata Herrera wa kiwango hiki, ambaye amesha-settle kwenye timu (hatutahitaji aizoee ligi/timu), mwenye leadership skills, anauejua maana ya kuichezea timu ya United bure bila malipo (maana hatumnunui) ni bora kumpa huo mpunga. After all kama tungemsainisha mapema pengine angelipwa hata £150K na angeridhika. Hili lilitutokea kwa Fellaini, linatutokea kwa Herrera na ninaona litatutokea kwa De Gea.
Lazima tukubali ili tupate mbadala ambao hatujui kama uta flop au laa, ni lazima tuteme sio chini ya £50million na mshahara usiopungua £120,00 kwa wiki. Kwa hiyo kibiashara na hata kisoka kumuacha Ander aondoke ni kutokiwa serious
Ndombele hawezi kuwa mbadala wa Herrera maana yeye ni more attacking lakini pia lazima tujiandae kupambana na Madrid, Juve na City katika kuwania saini yake
Natambua yapo maisha baada ya Herrera kama ataondoka lakini ni pigo kubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waarabu ndio chanzo cha hii ffp na sajili zao za ovyo ovyo kipindi kile kule city na psgKambi ya Herrera pia ilitumia hii opportunity kutaka mshahara mpya lkn kwa umri wa miaka 29 hastahili kulipwa hizo £200k kwa wiki sabab mbali na upambanaji wake Herrera na love alinayo kwenye club lkn tuseme ukweli sio mchezaj wa kiwango kikubwa sana zaidi tunachompenda ana ile fighting spirit...
Hao PSG tu wamemuahidi £150k why sisi tumpe 200k toka £75k kwa jumla kwa mchezaj wa miaka 29 anaelekea 30.
Fellain mzee baba alikuwa hafiki £150K kwa juma na kuuzwa £25m ni kutokana na eneo aliloelekea China ww unadhan nani ulaya alikuwa tayari kulipa zaidi ya £13m kwa Big Fella kutokana na umri wake + kiwango duni.
Club wanatoa hela tatizo uwezo wa convincing kwa Ed Edwood kupata wachezaji bora on bargain ndo shida au kukamilisha dili on time lkn club sio wabahili sana kwenye pesa.
Aende Herrera lete Tanguy Ndombele naona bado timu itaenda Ku balance alaf kuondoka kwa Herrera sio lazima united ikaenda kusain ma-mido wawili wapya sabab eti walikuwa na demand na mido mmoja before. Mmoja tu anatosha zaidi labda auzwe mwingine ili kuingia mwingine.
Club sasa inajitahid kuondokana na kulipa mishahara ya kichizi kwa wachezaji wake alaf viwango vyao vya kawaida pia itaondosha kwa wachezaji wapya watakaoingia ku-demand mishahara mikubwa.
Pia kuna kitu braza kinaitwa financial fair play (FFP) so huwezi kutoa mihela tu huku vitabu vyako vya matumizi haviingizi kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Swala lakufungwa haliangalii unakubali au hukubali ni kichapo tu na leo ni kichapo tena usiempenda ndiyo huyo kaja hahaaaaNapenda Leo man u avutwe Shati, ila naona kama atashinda ,sidhan tena atakubali kufungwa na wolves
Tusubiri muda ufike ,ila nafs inaniambia Leo wanashinda , game zao za kupigwa zipo mbele
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Labda ningeweka kumbukumbu sawa kwanza
Fellaini alikuwa ni mchezaji wa tatu kwa wachezaji wanaolopwa mpunga pale United, alikuwa analipwa £300K + kwa wiki (tembelea sources zitakuthibitishia hili) na hii ikisababishwa na Jose kumuhitaji sana na kwa kuwa alikuwa kama free transfer (hakukuwa na gharama za ziada kama za kumnunua). Lakini club ililazimika kumpa mpunga mrefu sababu walisubiri mpaka dakika za mwisho, club ingemsainisha mwaka mmoja kabla kwa mfano, asingelipwa hicho kiasi cha fedha. Fellaini amewahi kusema kuchelewesha kumpa mkataba make things difficult kwa club kwenye mazungumzo.
Nakubaliana na wewe kwa asilimia zote Herrera sio mchezaji wa kulipwa £200K kwa wiki.
Lakini kumpata Herrera wa kiwango hiki, ambaye amesha-settle kwenye timu (hatutahitaji aizoee ligi/timu), mwenye leadership skills, anauejua maana ya kuichezea timu ya United bure bila malipo (maana hatumnunui) ni bora kumpa huo mpunga. After all kama tungemsainisha mapema pengine angelipwa hata £150K na angeridhika. Hili lilitutokea kwa Fellaini, linatutokea kwa Herrera na ninaona litatutokea kwa De Gea.
Lazima tukubali ili tupate mbadala ambao hatujui kama uta flop au laa, ni lazima tuteme sio chini ya £50million na mshahara usiopungua £120,00 kwa wiki. Kwa hiyo kibiashara na hata kisoka kumuacha Ander aondoke ni kutokiwa serious
Ndombele hawezi kuwa mbadala wa Herrera maana yeye ni more attacking lakini pia lazima tujiandae kupambana na Madrid, Juve na City katika kuwania saini yake
Natambua yapo maisha baada ya Herrera kama ataondoka lakini ni pigo kubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbi tutaiweka hapa leo ............... Kamati ya mazishi ijiandae mapema msiba wa leo utasikitisha watu wengi.
Kwa mujibu wa sources nilizosoma huko nyuma, may be ziliongeza na chumvi lakini hawakuwa mbali na ukweliDuuh mzee Fellaini alikuwa anavuta 300k?? Hizo taarifa umepata wapi??
Fellaini hajawahi kulipwa £300,000 hata huko China mshahara wake ni £235,000 baada ya kuongeza mkataba mwaka jana mshahara wake ulikuwa £100,000
Pogba nae amegoma kuongeza mkataba now anajua baadae akiwaambia anataka £500k per week watampa
Haya matatizo ya wachezaji kusuasua kusign mikataba na kudai nyongeza ya mishahara tulishasema huko nyuma hata kina Romero wakitaka kusign mikataba mipya lazima watadai nyongeza hapo ndio Woodward ametufikisha
Martial,Shaw wamepata incriment kubwa sana kwenye mikataba mipya na Rashford anafuatia toka £45,000 mpaka 150,000
Tunamwacha Herrera aondoke kumbuka msimu uliopita tumemnunua Fred Kwa £52m na bado anastruggle kupata upgrade ya Herrera unaweza kumpata si chini £ 80m-100m+ So Glazer watakuwa tayari kutoa around £250m+ kununua wachezaji kwa msimu mmoja?

Fellaini alivyosajiliwa toka Everton alikuwa analipwa £ 80,000 baada ya kuongezwa ukapanda mpaka £100,000 sababu kubwa ya Fellaini kuchelewa lkusaini mkataba haikuwa fedha yeye alitaka mkataba wa miaka 2 with option to add another year while klabu ilimpa mkataba wa mwaka mmoja the same case inayochelewesha Mata kusign mkataba mpyaMkuu pia nimeonesha hapo chini
Mshahara Fellain wa £100,000 ulikuwa wa kwanza baada ya kutoka toffees lakini baada ya ku renew alikula mshahara mrefu ambao hata kama haujafika £300K kwa wiki lakini ulikuwa unaelkea huko, na alikuwa over payed kutokana na uzembe wa bodi kuto renew mkataba mapema
Soma sources hapo chini.
China Felli analipwa £235K nadhani after tax
Sent using Jamii Forums mobile app