Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huyu mzee anaweza kuwa kweli(isipokuwa mechi ya cardiff).

Lakini OLe ana miezi mitatu ,hana ingizo jipya la wachezaji. Sio rahisi staili ya uchezaji kubadilika kwa muda huo.

Sent using simu mbovu
nadhani tatizo ni performance za wachezaji wetu hazieleweki.​
kama hoja ni muda mbona sarri imemchukua mwezi mmoja tu kubadilisha mfumo mzima wa kiuchezaji pale chelsea japokuwa kwa sasa matokeo yao hayaridhishi na hata ukiangalia kwenye soko la usajili amemleta jorginho peke yake.
 
wanasoema phelippe coutinho si mchezaji sahihi wa kuichezea manchester united nawaomba mukaitafute mechi ya jana ya barcelona.
tukimweka namba 10 tutamfaidi zaidi kimpira kuliko namba 11 anayocheza pale barcelona, itapendeza zaidi kama paul pogba atachezeshwa number 8 kama tutapata mchezaji fundi kama coutinho au eriksen.
matic + herrera + pogba = 😡😡😡😡
OGS anapaswa kuja na plan nyengine kuanzia mechi ya wolves
 
Naungana na wewe..there is nothing we can do we that combo anymore i.e Pogba Matic Herrera
 
Huyu dogo ni mzuri sana,

Mimi nilianza kumfuatilia 2016, Jose alipopewa timu maana alitajwa tajwa sana, mpaka ukweni (upande wa demu wake) huko Mexico walizusha kwamba dogo anaenda United. Hatimaye deal halikufanyika.

Pia world Cup alicheza vizuri sana
takwimu za Lozano zimenishangaza sana kuliko hata takwimu za wengineo.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatushindani na Liverpool msimu huu, lakini tunashindana naye kihistoria

Kwani hatupendi Liver atukute kwenye idadi ya makombe

Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka ugomvi na mashabiki maandazi wa Manchester, they know nothing about rivalry in football, imagine anakuambia hatushindani na liver inamaana tunashindana na spurs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…