Manchester United (Red Devils) | Special Thread

1. Sidhani kama ni sahihi kuwalinganisha Mess na Ronaldo na hawa martial na rashford. Hizi ni dunia mbili tofauti.

2.Angalia kipindi Ronaldo na Rooney wanacheza ,walikuwa wanacheza na wakina nani?

Sent using simu mbovu
Na mtu kama Mbappe unamuongeleaje? Mbona naye mdogo(hata kwa akina Rash na Martial), mbona yeye anaonyesha kiwango cha juu? Hao akina Rash na Martial, ndiyo wamegota mwisho wa viwango.
 

Kama DoF atakuwa Ex player wa United basi hapo ni Kati ya Van der Sar au Peter Schmeichel wote hawa wameshaongea wazi kwamba wapo interested sana na Nafasi hyo na Van Der sar tayari ni CEO wa Ajax hivi sasa, Evra anaipenda Club ndio lakin hana Qualifications za kushika nafasi hyo na hajawahi kusema wazi kwamba yupo interested. ila kwa mtizamo wangu kwa sahv sidhan kama Dof atakuwa ex player.
 
Ongeza na Mbape hapo na Neyma wameanza kuwa world class at tender age

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu sisemi Rashford atakuja kuwa World class ila Lewandoski alivyokuwa na Umri wa Rashford ulikuwa unamfahamu ww?au alikuwa World class?? ila sahv wote si tunakubaaliana jamaa ni world class ama? kila mtu na ukuwaji wake mzee Jamie vardy alikuwa league dalaja la chini kabsa akiwa na umri wa Rashford hakuna mtu alikuwa anamjua ila ndo hyo alikuja kushinda PL na Leceister na kuvunja record ya magoli ya Ruud...tujaribu kuwa na subira kidgo na tusi judge watu mapema!
 
tunaokwenda kule uchawini kumbe tupo wengi lakini hatujuani, naipenda ile thread kwa mijadala yake yenye kujenga hususani ishu ya DOF, post match review n.k
jana sikubahatika kuangalia mechi lakini nilipotembelea kule uchawini nikakutana na comment kama hizi nikajua kilichotukuta.
nimeshindwa kuangalia hata marejeo ya magoli mpaka muda huu.​
 
leicester city, umesema kocha wao ni mtu wenu wa karibu kwa sababu alishawahi kufanya kazi liverpool.

Ooh, ile post ni mwendelezo wa chat yangu na Honestty kuhusu ni nani atakayemsimamisha Man City?

Nikamwambia nawategemea Man Utd mfanye hiyo kazi, yeye akasema hamwezi.

Hivyo nikasema matumaini yetu yanabaki kwa Leicester (Brendan) afanye alichofanya Hodgson na Benitez kutusaidia kumbana City.

That was the reasoning behind that post.
 
Mule kuna nondo sio utani..Kitu kingine watu mule hawana unafki,nyeusi wanasema nyeusi.
 
ok kumbe nimedandia gari kwa mbele, 🙏🙏🙏
mechi yao itakuwa ni mwezi wa tano hivyo basi ndani ya mwezi mmoja huu yeyote anaweza kupoteza muelekeo kati yenu.
kadri mutakavyoendelea kupata ushindi mutazidi kuwapa pressure lakini mukipoteza alama ovyo itakuwa ni kizaazaa.
 
“I like Pogba a lot, it’s nothing new. I know him personally,” AS quote Zidane as saying in his pre-match press conference. “He’s a different kind of player, he brings so much and there are few players who bring as much as he does.

He’s a midfielder who knows how to defend and how to attack. He knows how to do everything on the pitch. He’s not part of my squad, he plays at United and what he’s said about Real Madrid and his desire to come here if one day he gets the chance when he wants to leave United…

And if when he finishes his experience at United he wants to come here why shouldn’t he come to Real Madrid.”

Alichosema Zizzou kuhsu Pogba
 
Kuna kitu kinanishtua sana kwa huyu sosha,
Priority targets zake ni Sancho, Declan rice, Wan Bissaka, na Odoi wa chelsea nae anamtaka akimkosa sancho,
Hawa wote ni englishmen,
sijawahi kumuona sancho zaidi ya youtube.
sijawahi kumuona declan rice ambaye yupo west ham
wan bissaka namuona dhidi ya manchester united wanapokutana
Odoi ndio hivyo sina muda wa kuangalia mechi za chelsea.

wajuzi wa mambo tafadhalini naomba mutusaidie, endapo tutawapata wawili kati ya hao je tutakuwa tumeramba dume au ndio yale yale ya kila siku?
Tanayzer umekuwa ukiwapigia chapuo sana hao jamaa wasajiliwe naomba utusaidie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…