Tulisema humu Pogba ana utoto na masifa mengi tukaanza kuletewa simulizi za ubora, ooh ukitaja viungo watano bora Pogba hakosi.
Madrid wakimkomalia mimi naona auzwe tu, ela inunue mchezaji mpambanaji.
Nimeona kuna muda amefanya utoto wake Jones akamkasirikia vibaya sana. Hapo ndio ninapompendea Jones.