aahahaaa! Ni timu yangu Mkuu, I satisfy only inapocheza vizuri. Goli lile la Martial halijanipa furaha japo nimeshangilia. Second 10 kabla ya goli Martial alikosea kabisa pia kwa refa katili angepuliza offside. Refa huyu kawa fair kwamba wachezaji wa Watford wote walikuwa nyuma ya mtoa cross (Jesse Lingard).