Acha uchawi mkuuManchester United imekufa rasmi sasa nimeamini...............Mmefanya second worst decision tena kwa Mara yingine Baada ya ile ya Mourinho mmekwisha Dah
Muda utatoa majibu, ivi upo na Sari au?Manchester United timu imeishiwa Ambition kabisa mnampa timu huyu msimamizi wa mazoezi aliyeishusha Cardiff daraja atawasaidia nini nyie
Wahun juhud ndio nani? [emoji48]Allison ana enjoy sana ..uwepo wa VVD, Matip, Gomez, Walhunjuhd, Hendo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha roho mbaya baba, huu ni itabidi wa kichawi, hauwezi kutimia.Mpaka sasa Ole Soksi ana 4/5 ya kufukuza kazi Next season kabla ya Christmas
Siku kama ya leo next season Ole Soksi atakuwa ameshakuw SackedAcha uchawi mkuu
nyie mliyokuwa kwenye better decision tunaona mnajizolea makombe tu kuanzia 2012 mpaka sasaManchester United imekufa rasmi sasa nimeamini...............Mmefanya second worst decision tena kwa Mara yingine Baada ya ile ya Mourinho mmekwisha Dah
Poleni sana Manchester United imeshakuwa timu ya long terms project all over mmekwisha mmebakia kuwa timu ya Cheap cheap cheap option πππππnyie mliyokuwa kwenye better decision tunaona mnajizolea makombe tu kuanzia 2012 mpaka sasa
Ole Soksi out banners flying by Christmas
Siku kama ya leo next season Ole Soksi atakuwa ameshakuw Sacked
Manchester United timu imeishiwa Ambition kabisa mnampa timu huyu msimamizi wa mazoezi aliyeishusha Cardiff daraja atawasaidia nini nyie
Mpaka sasa Ole Soksi ana 4/5 ya kufukuza kazi Next season kabla ya Christmas
How is possible? Liverpool fan kuumia ,sababu ya makosa ya maamuzi yaliyofanywa na Manchester united.Manchester United imekufa rasmi sasa nimeamini...............Mmefanya second worst decision tena kwa Mara yingine Baada ya ile ya Mourinho mmekwisha Dah
Masikini mmeshakubali kuwa mashabiki wa Long term project ππππHow is possible? Liverpool fan kuumia ,sababu ya makosa ya maamuzi yaliyofanywa na Manchester united.
Sent using simu mbovu
Bora haya mazungumzo yakwame, simkubali umtiti, bora aje kwenuUMtiti ataenda utd
How is possible? Liverpool fan kuumia ,sababu ya makosa ya maamuzi yaliyofanywa na Manchester united.
Sent using simu mbovu
nilichowapendea manchester city ni ule mpango wao wa kumtafuta DOF anayeendana na mikakati yao ya baadae kisoka, hata alipokuja josep guardiola ilikuwa ni rahisi zaidi kwa soriano na kocha mkuu kufanya kazi kwa pamoja kwa sababu kwanza wanafahamiana tokea catalunya.Solskjær can't fix United alone; a director of football is still a must
πππππ naongoza ligi ,Uefa mpaka sasa ni kama nipo semifinal......... wewe hiyo timu yako kama kikundi chako wapika gongo wa yombo vituka mnajipya gani?? Wagalatia nyieAchana nae hyo mzee atakupotezea muda tu,Yake yamemshinda sahv amebaki kufatilia timu za wengine, sahiv Liverpool wakichemka sijui utakuwa unaenda mwaka wa ngap hawajabeba kitu na kocha wao Katuni yule.
anaposema atawapata kabla ya pre season ina maana ana uhakika jambo ambalo si kweli kwa kuangalia rekodi za sajili tulizofanya miaka iliopita na hii ndio hoja yangu.Sasa mpk kocha kasema atapata wachezaji anaowataka kabla ya pre season unajuaje kama hawajaanza kushughulikia hilo tayari? Bila hivyo asingesema mbele ya waandishi alipoulizwa
ππππππππ wagalatia hawa watalichukua tuBora haya mazungumzo yakwame, simkubali umtiti, bora aje kwenuView attachment 1056585
'When youβve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.β David Alaba