Punguza shobo mzee unaweza ukaignore tu,I have been on this forum since 2007 you have nothing to advise me about Manchester UnitedKashabikie Bayern basi mkuu ili usiteseke, wacha si tuendelee kupambana na hali zetu, huwezi fananisha timu hvyo kila timu inamipango yake!
Punguza shobo mzee unaweza ukaignore tu,I have been on this forum since 2007
mimi kwenye hizi za usajiri huwaga nafumba macho na masikio halafu naendelea na mambo yangu, sababu hata nikilalamika haitabadilisha kitu sana sana ntapoza muda wangu kuandika kisichobadilika...Bayern has better squad than United (Tiago,Hummels,Sanches,Gnabry,Sule,Kimmich,Alaba,Goretzka,Tolliso,Coman) plus experience players like Neuer,Robben,Ribery,Martinez,Lewandowski,Boateng & Muller but they are still working hard to rebuild their team ,they have already sign 2 World Cup young defenders (Benjamin Pavard and Lucas Hernandez) and still working hard to sign CHO from Chelsea & Timo Werner from Leipzig
They are not struggling on this because their management (decision maker ) are people who understand football (Rumminege,Hoenes & Salihamidzic) unlike United which all technical decision are made by one man(Accountant)
Bayern wamechukua bundesliga back to back for 6 years na msimu huu utakuwa wa 7mimi kwenye hizi za usajiri huwaga nafumba macho na masikio halafu naendelea na mambo yangu, sababu hata nikilalamika haitabadilisha kitu sana sana ntapoza muda wangu kuandika kisichobadilika...
Bayern pamoja na kuwa na watu wa mpira ila wamejisahau sana
ova
Shobo zipi tena mkuu?kwan nimekufukuza kwenye uzi huu? Mi nimekujibu kulingana na ulivyoongea ww as if Bayern ndo timu bora sana kuliko United, na ukiangalia post zako nyingi nizakulalamika, sasa ili usiteseke nimekupa ushauri wa bure tu mkuu wala usikasirike..
Sijui hii kasumba ya baadhi yenu mashabiki humu kutaka kila mchangiaji awe na mawazo sawa na yenu mnatoa wapi.
Huyo bwana yupo hapa jukwaani tangu 2007 wewe leo unakuja kumshauri akashabikie timu nyingine kisa ametoa maoni tofauti na kile unachoamini wewe?
Haukutumia busara mkuu.
Leno anauwezo mkubwa tu wa kumkalisha De Gea au Allison ..ila timu anayocheza ndo hivo haina future yeyote.
Watu wanataka kutuaminisha kuwa Pogba hana replacement Kitu ambacho siyo kweli mbona vipaji vipo vingi sana !
Sent using Jamii Forums mobile app
Ericksen ni top player ila watu humu mnaongea as if hii ni game ya Playstation kwamba akiondoka hyu unachukua tu yoyote unaemtaka,Hivi mnamjua Daniel Levy nyie?? Berbatov tu kuondoka pale ilikuwa ni kimbembe na babu hatosahau shida aliyoipata,Ericksen ni Key Player wa Spurs unafikiri itakuwa rahisi kumsajili? na unafikiri watataka watuuzie sisi top 4 Rivals? na unafikri Ericksen anataka kuja Man utd?? vile vile uchezaji wa Ericksen ni tofauti na Pogba in terms of physicality so haitokuwa like for like replacement,Ericksen ni replacement ya Mata sio Pogba.
Mkuu nimeweka options zaidi ya 4, wewe umeona ya Ndombele tu?Ndombele ameshafanya kipi cha maana mpka umemuweka level moja na Pogba mkuu?
Yani tayari una timu ina gaps sehemu kadhaa,
then unaenda kuongeza pengo kwa kumuuza moja kati ya best CM in europe kwa sasa. Kwa sababu ambazo hazieleweki.
Anti-pogba wote msiwe na wasiwasi, atauzwa muda ukifika tena kwa fedha nzuri tuu.
Sent using simu mbovu
Unadhani huyu mtu yupo serious na timu yako, timu ya dunia?
Halafu eti anapewa captain armband View attachment 1051331
Sent using Jamii Forums mobile app
Bayern wamechukua bundesliga back to back for 6 years na msimu huu utakuwa wa 7
tukisema mnachuki mnasema tunapenda mchezaji kuliko timuHabari za muda wadau,
Niaminivyo mimi,pogba ni mchezaji mzuri sana lakini ameletwa pale united kwa malengo zaidi ya moja: kubwa kabisa likiwa brand ya kibiashara ya klabu kama ilivyokuwa kwa akina beckham na ronaldo. Hakuwa na jina kubwa sana wakati akiwa juve ila man utd imemfanya mkubwa na kumpandisha thamani yake kwenye soko la usajili. Ila kwenye suala la kiwango,ana talent kubwa lakini hachangii majukumu yote uwanjani kwa asilimia mia kama ilivyo kwa viungo wengine wengi bora duniani kwa sasa.Ndio maana sijaona barca na madrid wakiwa na mpango naye licha ya yeye binafsi kujitongozesha kwao wazi wazi. Pamoja na uchakavu wa eneo lao la viungo iliyonayo madrid na barca,tulitegemea pogba angekuwa ameishatengenezewa tetesi za kutakiwa lakini imekuwa sivyo. Ni mzembe,mvivu na mbinafsi wa mafanikio uwanjani hivyo timu inakosa uwiano mzuri kwenye eneo la ukabaji.
Bayern has better squad than United (Tiago,Hummels,Sanches,Gnabry,Sule,Kimmich,Alaba,Goretzka,Tolliso,Coman) plus experience players like Neuer,Robben,Ribery,Martinez,Lewandowski,Boateng & Muller but they are still working hard to rebuild their team ,they have already sign 2 World Cup young defenders (Benjamin Pavard and Lucas Hernandez) and still working hard to sign CHO from Chelsea & Timo Werner from Leipzig
They are not struggling on this because their management (decision maker ) are people who understand football (Rumminege,Hoenes & Salihamidzic) unlike United which all technical decision are made by one man(Accountant)
Yani tayari una timu ina gaps sehemu kadhaa,
then unaenda kuongeza pengo kwa kumuuza moja kati ya best CM in europe kwa sasa. Kwa sababu ambazo hazieleweki.
Anti-pogba wote msiwe na wasiwasi, atauzwa muda ukifika tena kwa fedha nzuri tuu.
Sent using simu mbovu
hilo halibadilishi kwa kile nilichosema, umeona wanavyostruggle mwaka huu?? unaweza kufananisha na miaka 3 iliyopitaBayern wamechukua bundesliga back to back for 6 years na msimu huu utakuwa wa 7