Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hatujakataa kuwa pogba ni fundi lahasha bali tunajaribu kuangalia makosa yake uwanjani na commitment yake kwa team.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwhy wewe ungekuwa coach ungesuggest pogba auzwe kwa sababu ya "so called makosa",

Hivi huoni mchango wa pogba kwenye timu.
Kwa sasa kwenye top 5 league in europe ,pogba ni moja kati ya viungo wawili wenye rekodi nzuri ya magoli.

Ndani ya timu yetu anaongoza kwa assists. Creativity yote ya timu inamtegemea pogba.

Duuh halafu unadai auzwe, sababu ya vikosa vidogo vidogo. Hivi akiuzwa unam replace na nani?

Sent using simu mbovu
 
Tatizo sisi bado hatujaamua nani kocha wetu wa kudumu.

Sent using simu mbovu
 
Pogba ametuchoma mechi ngapi mkuu na ni zipi exactly ambazo yeye tu ndo alifanya makosa huku wachezaji wengine wakicheza vizuri??
 
Ningetafuta kiungo bora, then wataccheza wote, baadae pazm abadilike
 
Hakika ndiyo maana watu wanadhani pogba hana replacement mbona Beckham aliondoka na team iliendelea kubounce vizuri tu ?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anyone with two legs, that will be ready to fight for the badge.

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu nataka uniunge kwenye timu yako ya mashambulizi kwa ole gunnar solskjaer, naahidi nitakuwa mpiga kampeni mzuri sana.
bila ya kutishwa na wenye dola humu ndani nahitaji niunge mkono juhudi zako.
ni muda muafaka wa kushusha tanga na kupandisha turubali.
naomba unipokee.
 
Ningetafuta kiungo bora, then wataccheza wote, baadae pazm abadilike
Hakika ndiyo maana watu wanadhani pogba hana replacement mbona Beckham aliondoka na team iliendelea kubounce vizuri tu ?

Sent using Jamii Forums mobile app
tatizo lenu hamutaji mfano wa mchezaji atakayeziba pengo la paul pogba, ok unataka kumuondoa paul nafasi yake itazibwa na mchezaji yupi?

nyakati za beckham nafasi yake alitakiwa ronaldinho na alipokosekana aliletwa ronaldo, miaka mitatu baadae jamaa akaanza kutupa faida.
alipoondoka tuliletewa antonio valencia, je valencia aliziba pengo la ronaldo?
sidhani kama valencia amefikisha angalau nusu ya magoli aliyofunga ronaldo msimu wa 2007/ 2008.

si ndio yale ya real madrid wamemuondoa mwanadamu mwenye uwezo wa kufunga magoli 50 kwa msimu wanamleta mwanadamu asiyekuwa na uwezo wa kufunga angalau magoli 10 kwa msimu.
 
Sport News |||

"Kocha aliye fuata baada yangu (Mourinho) alibadilisha mbinu akawa anapaki basi na kushambulia kwa counter na sahizi yupo mwingine (Solskjaer) nae anapaki basi na kushambulia kwa counter" "Tofauti iliyopo kati ya Mourinho na Solskjaer ni kwamba Solskjaer ana shinda"

Louis Van Gaal kocha wa zamani wa Manchester United kuhusu Mourinho na Solskjaer.



'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
LvG=scumbag
 
Update :Bayern complete signing of Lucas Hernandez from Altelico Madrid
 

Shida ni kwamba watu ambao wako kwenye level yake ni wachache na hao wachache bei utakayoambiwa na mshahara atakaotaka mtakuja tena humu jukwaani kulalamika akizingua, kama kilichotokea kwa Sanchez
 
Hakika ndiyo maana watu wanadhani pogba hana replacement mbona Beckham aliondoka na team iliendelea kubounce vizuri tu ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Option za kum replace Pogba zipo nyingi (like to like replacement)

Bruno Fernandez (Sporting Lisbon)

Ndombele (Lyon)

Christian Ericksen (Spurs)

Wengine tunawaachia Scout Network ya United ambayo inatajwa kuwa ni Network kubwa kuliko zote ukimwenguni wanaweza kupata mbadala (Unless mniambie siku Pogba akiondoka United ndio itakufa)

Lakini pia Pogba anaweza kuwa replaced kwa kubadili mfumo (sio like to like replacement)

Badala ya 4-3-3 ikawa 4-4-2 na wachezaji wanaoweza wenye uwezo mkubwa duniani wapo wengi tu

Mfano kwenye 4 ya nyuma (unaongeza Koulibaly au De Legt)

Kwenye 4 ya kati unaweka Matic/Herrera, Bruno Fernandez/Ericksen/Ndombele/Nerves (Wolves) n.k., Sancho, Martial

Kwenye 2 ya mbele unaweka Lukaku na Rashford/Lingard/Mata/Usajili mpya wowote






Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pogba anaweza kuwa replaced na Christian Eriksen na team isiyumbe kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…