Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wallah kwa upuuzi wa leo nimeanza kuwa na doubt na Sosha

dakika ya 63 timu inacheza hovyo timu pinzani inatengeneza nafasi za hatari kazi uliyowatuma wachezaji wako hawaifanyi still umeridhika tu kisa unaongoza possession

what a shame???
Kwa aina ya wachezaji tulionao hata aje nani, hamna kitu hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…