Wallah kwa upuuzi wa leo nimeanza kuwa na doubt na Sosha
dakika ya 63 timu inacheza hovyo timu pinzani inatengeneza nafasi za hatari kazi uliyowatuma wachezaji wako hawaifanyi still umeridhika tu kisa unaongoza possession, of course kufungwa ipo ila bila kuonesha effort ya kutafuta goli ni upuuzi
what a shame???