Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Kwahiyo mlikuwa mnadanganyana barca mnampiga?Nashawishika kuamini kwamba Barca wanaenda kutuvua nguo.
Hakika kwa ujinga wa leo hata kuangalia tena gemu za Man U najiuzilu tukutane msimu ujaoKwa kucheza hivi bora tufungwe
Kwahiyo hata ya Barcelona huangalii tenaHakika kwa ujinga wa leo hata kuangalia tena gemu za Man U najiuzilu tukutane msimu ujao
Top 4 nayo tiamajitiamajiTumeondoka
Bora wawapige inaweza kuwa 2-0, 3-0
@Ollachuga Oc anawafahamu vizuri sanaWolves ni watu hatari sana
haahaa ni hatari@Ollachuga Oc anawafahamu vizuri sana
Yeye ndio anaweza kuwaelezea vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app