Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 29,015
- 51,529
The only difference mmepangiwa wa mngani. Man u wamepangiwa wa kimataifaThe only difference I can see is Camp Nou mnakula za kutosha mkirudi OT mnaenda kulazimisha draw.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimeambiwa nisilete habari za futuhi huku. Karibu jukwaa letu tutaongea zaidi.The only difference mmepangiwa wa mngani. Man u wamepangiwa wa kimataifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili tatizo sijui litatatuliwa lini.Duuh aisee kweli kuna watu wapo deep humu nimefurahi sana kusoma hoja zako humu mkuu sababu mawazo yako yanendana
sana na ninachofikiria mimi...kwa ufupi tunachokosa kikubwa kwenye hii club ni "Director of Football" kwenye modern football
sahiv hyu mtu lazima uwe nae mfano City yupo,Juve Yupo,Barca Yupo,Atletico yupo etc Club kubwa karibia zote,hyu mtu kazi
yake ni kuangalia Coach anataka acheze vipi na wachezaji watakaofaa kwenye huo mfumo ni wapi na kwenda sokoni kuwa
nunua,ukiangalia tunavyofanya usajili sisi nikama hatujui tunahitaji nini na ndo maana mwisho wa siku tunaishia kununua
wachezaji wengine level za chini mfano wakina Darmian na kuendelea kuwaongeza mikataba wakina Jones,wachezaji wa
maana kama kina De jong wanaishia kwenda Barca,Ed woodward ni Banker mwanauchumi sio DoF hana uelewa wa ndani wa
mpira hvyo hana uwezo wowote wa kumpinga Coach na haelewi club inahitaji nn,mfano Moyes alivyoomba Fellaini anunuliwe na
yye akaenda kumnunua tena kwa bei mbaya,hzi timu kama Juve na City wamefanikiwa kufanya usajili mzuri ndani na kipindi
kifupi sababu ya DoF hvyo naona nasisi inabidi tufanye michakato aje mtu wa maana pale kama Dof na nimeshasikia Club
inamtafuta mtu atakae fit hyo nafasi vizuri.
The difference is because Chelsix is a small team, then you meet the team with your team's statusThe only difference I can see is Camp Nou mnakula za kutosha mkirudi OT mnaenda kulazimisha draw.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajadili yasiyokuhusu
The difference is because Chelsix is a small team, then you meet the team with your team's status
The big boys United meet with fellow big boys Barca
Then, why don't you tell us the story about Praha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona ujaandika ulivyopigwa mbili kavu na arsenal ...halafu unaenda kukutana na miamba ya London ..apo apo kwako nakupiga tu..Mlio na mikosi kimpango wenu chelsea kapigwa kwake 2-0 juventus kafa kwake 2-1 psg kafa kwake 3-1 hizo bahat gani unazinadi?
Bahati ipo wewe kutufunga vigoli viwili FA huoni ni bahati iyo..??Hakunaga bahati kwenye professional football .mzaid ya bidii zako.
You dont work hard. You dont get it that it
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani una fixture ngumu ..Man city uyo apo, una Wolves FA, Bacra uyoo ..sisi tunakuja ..una hatari ..Europa itakuhusu msimu ujao..
Kwa hiyo na yeye alibahatisha?Mbona ujaandika ulivyopigwa mbili kavu na arsenal ...halafu unaenda kukutana na miamba ya London ..apo apo kwako nakupiga tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Man City sio wa leo wala kesho, mechi yake ilipaswa tucheze leo imeahirishwa, leo tupo FA na WolvesYani una fixture ngumu ..Man city uyo apo, una Wolves FA, Bacra uyoo ..sisi tunakuja ..una hatari ..Europa itakuhusu msimu ujao..
Pole sana..
Sent using Jamii Forums mobile app
Aha kumbe gemu yenu imeahirishwa sikujua ilo ..hata hivyo leo Wolves hawatotuangusha..Mkuu Man City sio wa leo wala kesho, mechi yake ilipaswa tucheze leo imeahirishwa, leo tupo FA na Wolves
Hata tungekuwa na Man City, siwezi kuumiza kichwa maana wale ni watoto kwa United. Tatizo wewe unawaogopa sana kwa sababu ya zile 6
Kipindi nilichokuwa na fixture ngumu sana tena zilizo karibu karibu ni February kuja March, kwasa ngumu zimebaki chache halafu kuna gape la kujipanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni utani nyie kumfunga mtu goli tatu kwa moja akiwa nyumbani mnasema kabahatisha kweli...???
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile alidhamiria kabisa kushinda.Kwa hiyo na yeye alibahatisha?
Kwa hiyo mechi alizofungwa chelsea hamkutaka kushinda naona man city alikupiga 6 refa alikuwa upande wa city na mimi nilikufumua 2 refa alikuwa upande wanguIle alidhamiria kabisa kushinda.
Ninyi huwa munabahatisha na refa Mara nying huwa upande wenu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha bahati. Si uzembe wenu mmecheza vibaya mmefungwa.Bahati ipo wewe kutufunga vigoli viwili FA huoni ni bahati iyo..??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hi City na LiverNaiona fainali ya barca v city pale bernabeu
Sitaki kusema chochote kuhusu game yetu dhidi ya barca,ila kwa rekodi barca pia anaihofia man utd.
Hatimaye liverpool anapumzishwa kidogo baada ya kucheza mechi ngumu za uefa ila man utd kazi inaendelea.