Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kufungwa na Arsenal kumepunguza possibility yetu kumaliza top four ukizingatia wao fixture yao ni nyepesi (hawana big match ) kulinganisha na sisi na wana mechi chache

Ile nguvu ya combination ya Pogba +Rashford inaonekana imepungua kwenye mechi 4 zilizopita,I hope Lingard atarudi mapema kuja kuokoa jahazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini upo UCL wakati unaogopa kupambana na wanaume wenzako?

Si bora ujitoe mashindanoni?

Sisi united ukitupa yeyote tunafumua.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahaha!

Unajua kuna vita ukiingia unajua utashinda lakini resources utatumia nyingi.

Nikipangwa na nyie hata mazoezi sifanyi, wakati hao wengine lazima niumize.
 
Ole anatakiwa aanze kumkaripia Rashford.

MUFC pia inakabiliwa na changamoto ya wachezaji kutojituma. Leo anacheza vizuri,anapotea tena anarudi baada ya mechi tano. Hawa sio wachezaji wa kushinda nao makombe.

Angalia Mane anavyojituma,anaweka kichwa na mguu popote ili afunge goli.

MUFC ina wachezaji wenye vipaji kuliko Liverpool,Chelsea na Arsenal ila tatizo lipo katika kujituma na kubaki katika ubora wao.

Huyo Pogba anayesifiwa naye akikabwa na kuporwa mpira mara mbili tatu anatoka mchezoni na kuanza rafu za kijinga.

Kama Ole akipewa timu ni vyema akapewa wachezaji wa kazi.Hawa akina Martial,Rashford katika eneo la ushambuliaji bado sio wakutegemea. Matic pia nadhani huu ndio msimu wake wa mwisho.

Scott na Pereira ndio wachezaji pekee wasio na utoto japo ni watoto.
 
Hakuna mtu simwamini kama Rashford pale OT, na bahati mbaya huyo ndio haguswi kbs hata akiingia uwanjani akaamua kukaa chini adi dk90 ziishe. Ukweli mchungu..huwezi shinda chochote kwa kumtemea rashford!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kijana wa OGS yule, tusitegemee atamuweka benchi ata akicheza vibaya.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…