Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 29,029
- 51,563
Kwa ufupi Ole hana future ..hajui kama atabaki manure msimu ujao, au ataondoka mwishoni mwa msimu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpeni timu Di Mateo anawatosha
HahaaaaaaaaaaMnajazana ujinga na kuaminishana upumbavu eti OLE ni kocha wa kuifundisha Manchester United mtaumia
Mou kwa sasa mkimpa timu atakuwa amejirekebisha ..uyo Ole ni wale wale tu kama Pochettino..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mou kwa sasa mkimpa timu atakuwa amejirekebisha ..uyo Ole ni wale wale tu kama Pochettino..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Ollachuga nashukuru kwa kuliona hili OLE hakuna kitu mule walichokifanya hawa ni ile inaitwa potelea mbali na top hawaingiiKuna uwezekano Mourihno akarudi tu..
Sioni Kama Ole atawapeleka top four
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu uchambuzi wako ulikuwa unachambua soka au ulikuwa unachambua Mchele wa kujipikilishshaHii tactic ya Arsenal/Unai akiongoza anaacha timu pinzani icheze cheze lakini anakuwa ameshapata ushindi ni nzuri sana na Arsenane wanaiweza sana
Nakumbuka hata mechi ya Arsenal na Liverpool, ya Spurs na ile ya Rennes hii mbinu ilifanya kazi kubwa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
We unaona Klop Midevu naye ni kochaMnajazana ujinga na kuaminishana upumbavu eti OLE ni kocha wa kuifundisha Manchester United mtaumia
Muulize mchambuzi uchwara mwenzio wa ArsenalHuu uchambuzi wako ulikuwa unachambua soka au ulikuwa unachambua Mchele wa kujipikilishsha
Kwani mkuu kinachoshindikana ni kipi?Yaani utufunge goli 6 OT?? unakichaa ww
Mkuu hujui hata kusoma andiko lako mwenyewe..soma hapo juu andiko lako ni la 1st half. ANGALIA PISSESSION YA FULL TIME.pambaf.
Sawa mkuu kocha mwenye rekodi nzuri kwa sasa Uingereza ni UNAI tutamchukua huyo. Au tukishindwa tutamchukua Wenger aliyefundisha arsenane miaka 21 ma anazidiwa idadi ya makombe na Mourinho aliyefundisha miaka minne Chelsea.Uyo Ole sioni Kama atawapa mnachotaka.. Mourihno kwa mf hiv mlivo UEFA angeweza kubeba...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ndio ya full time kama unayo wewe tofauti na hii niwekee.Mkuu hujui hata kusoma andiko lako mwenyewe..soma hapo juu andiko lako ni la 1st half. ANGALIA PISSESSION YA FULL TIME.pambaf.
Sent using Jamii Forums mobile app
Possession ya nn watu wanaangaliwa umegongwa ngapiMkuu hujui hata kusoma andiko lako mwenyewe..soma hapo juu andiko lako ni la 1st half. ANGALIA PISSESSION YA FULL TIME.pambaf.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ndio ya full time kama unayo wewe tofauti na hii niwekee.
Ninaiongelea au tunaiongelea,mbona nyie kabla ya mechi mlikuwa mnaposti zile nane.Ila asante kwa hii picha.View attachment 1044232
Yaan huoni hata aibu? Mechi ilishapita watu mpka leo mnaendelea kuiongelea utafikiri mlipiga mpira mwingi Arsenali bwana
Kama mlipiga mpira mwingi ilikuwaje mkabakwa 2-0View attachment 1044232
Yaan huoni hata aibu? Mechi ilishapita watu mpka leo mnaendelea kuiongelea utafikiri mlipiga mpira mwingi Arsenali bwana
Jidanganyeni tuIli tufunzu top four tunakiwa tumfunge chelsea,coz yeye anakiporo pia tushinde match yetu na city spurs anawakati mugum ataenda etihadi kwa city pia anfield kwa liverpool so anaweza kutoka top four,tusiposhinda match hizo mbili especial ya city ni ngum sana match ya chelsea naona ni winable kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanajidanganya sana