Na wewe utafanikiwa kupata angalao sare kwa Everton au kwa Zaha..Hawana uwezo hata wakupata sare kwa man city huo ni ukweli mchungu
Man city ni majambazi Yale,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm hao kichapo had lig inaishaNa wewe utafanikiwa kupata angalao sare kwa Everton au kwa Zaha..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi Nina uhakika wa point 25 hadi mwisho wa msimu.. Jumlisha na hiz tulizonazo tutakuwa na ngap apoLeo hii wewe ndio unawafundisha watu waweke akiba ya maneno,
Kule kwenye uzi wenu umetuambia nini?
Eti chelsea mnashinda mechi zote zilizobaki?
Sent using simu mbovu
Kuna uwezekano Mourihno akarudi tu..Huwa siwaelewi watu wanavyoanza kutoa lawama kwamba kocha hafai.
Naomba wawe wanatoa mbadala, kocha gani anafaa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaha ndo hivi huwa munasema...Ila kwa upande wangu mimi chelsea nna uhakika nae alijitahidi sare ila hawez kushinda nyumbani arsenal sikutajia kumfunga mara tatu kwake mfululizo
Sent from my iPhone using Tapatalk
Hahahahaha hii post imenivunja mbavu sana et arsenal ni timu bora
Sent from my iPhone using Tapatalk
Sisi sio malimbukeni.. Tatizo nyie hambadiliki, mnashinda lakini mna makelele sana...Zimebak za chelsea baada ya ushindi wa wolves mnasherehekea hadi leo
Sent from my iPhone using Tapatalk
Yaan man u wamrudishe murinho. In hell.Kuna uwezekano Mourihno akarudi tu..
Sioni Kama Ole atawapeleka top four
Sent using Jamii Forums mobile app
ArsenaneHii tactic ya Arsenal/Unai akiongoza anaacha timu pinzani icheze cheze lakini anakuwa ameshapata ushindi ni nzuri sana na Arsenane wanaiweza sana
Nakumbuka hata mechi ya Arsenal na Liverpool, ya Spurs na ile ya Rennes hii mbinu ilifanya kazi kubwa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Lukaku ni yule mchezaji mwenye kariba ya akina Droba ..jamaa linanguvu Sana aise..Ulijifanya mchambuz uchwara
Cha moto ulikiona
Siku nyingine uwe na adabu, mpira hauchezwi jfView attachment 1042980
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye ndo alitaka kuja.. Sisi hatuna mpango naye..Real Madrid wameamua kumrudisha Zizzou, Chelsea wasimuwazie tena Zidane.
Uyo Ole sioni Kama atawapa mnachotaka.. Mourihno kwa mf hiv mlivo UEFA angeweza kubeba...Yaan man u wamrudishe murinho. In hell.
Mtu aliwaaribia msimu na alikiwa anaipeleka timu shimoni kabisa. Tim ilishakuwa ya mchangani.
Bora ole ameweza kuirusha timu kwenye ushindani.
Kwa taarifa yako ni kuwa ole ameshifikia top 4.na top four uzur watu wamekaribina point. Means game iko open
Sent using Jamii Forums mobile app
Real Madrid wameamua kumrudisha Zizzou, Chelsea wasimuwazie tena Zidane.
Sisi sio malimbukeni.. Tatizo nyie hambadiliki, mnashinda lakini mna makelele sana...
Sent using Jamii Forums mobile app
Uyo Ole sioni Kama atawapa mnachotaka.. Mourihno kwa mf hiv mlivo UEFA angeweza kubeba...
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua iko hiviUyo Ole sioni Kama atawapa mnachotaka.. Mourihno kwa mf hiv mlivo UEFA angeweza kubeba...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mou huyu anae tukanana na wachezaji everyday haukuna chochote.Uyo Ole sioni Kama atawapa mnachotaka.. Mourihno kwa mf hiv mlivo UEFA angeweza kubeba...
Sent using Jamii Forums mobile app