Changes labda defence iwe more strong valencia arudi nyuma aingizwe park
siriaz wamtoe welbeki wamuweke henandezi.
Itawasaidia labda
siriaz wamtoe welbeki wamuweke henandezi.
Itawasaidia labda
Mlikuwa wapi kipindi cha kwanza?
Game over
Rooney Utu uzima una tafu sana!!! Kavutwa shati namna ile bila ku react back!!!!!!!
Zamani pale sijui ingekuwaje naona angelipa...
The good thing is Suarez acted very smartly!!!hahahahaha!! Evra si mchezo, naona alikuwa anajaribu kum-wind up Suarez baada ya kipenda cha mwisho....
hahahahaha!! Evra si mchezo, naona alikuwa anajaribu kum-wind up Suarez baada ya kipenda cha mwisho....