Pogba-matic-fred very poor one.... Pia nimeona kauvivu flan leo sjui kametoka wap... Pia rash selfishness na kutojituma sana as back days...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao majamaa wanapewaga maoni na wahuni wa vijiweni kuwa Wagner kochaMan united haijashuka kiasi hiko kwenda kuchukua makocha wa mchangani huko. This is united bwana.. kama pesa ipo wachukue kocha wa maana.. ww unataka kocha hata kombe la FAhajawahi chukua? Be serious man
Sent using Jamii Forums mobile app
go to city then nobody cares the f*ck you are saying.... Kama huamini project ya timu unaruhusiwa kuondoka Kama alivyoondoka ndugu yako Mou...mliojua mpira 2019 mnasumbua sana yan mnakurupuka tuWe will continue to be in cityzen's shadow forever kama tutaendelea kuwa na mashabiki dickheads kama wanao amini kuwa haka kakocha katatufikisha popote
Sent using Jamii Forums mobile app
GGMU ole ole ole yaliyopita yamepita tunaangalia mbele
game plan ilikuwa kaba Pogba, Matic basi hakuna mpira Man U
Yule jamaa msubirie kesho tufungwe au tu draw lazima aje!!
Upepo wa Ole uliwaaminisha kila kitu kinawezekanaYani unajipangia nafasi ya 3 wakati hata ya 4 hujaipata?
Mkuu umeona kitu naona watu wote hawakioni.halftime ilikua unatoa fred unaweka tomnei.maana weaknes ilikua kwa fred mipira yote ya aseno inapita hapo kwake young anapata shida.Nadhani hujamuona fred. Cant pass.. cant mov hana speed. Hasaidii attaks. Yaani hovyo.
Angekuweo perreira mambo yangekuwa sawa pale. Fred hamna kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmefungwa sababu Arsenal ni timu bora kuliko United kwa sasa...Kwa upande wangu mi sijaumia kupoteza hii mechi kwanza tulikuwa na mech kubwa nyingi mfululizo na zote tulichomoka arsenal ilikuwa lazima wajitetee tumebamiza sana pale
Kwangu mimi poa tu
Sent from my iPhone using Tapatalk
Huyu jamaa aliyeingia ghetto la wajeda mbona hatoki huko ndani
Shamba darasa...hahaaaaa kwa dharauuuNina hamu sana na hii game yetu dhidi ya hawa shamba darasa ( arsenal )
Huyo tangu mniambie sio mtu wa kumjibu nikiona comment yake hata sisomiUnakosea sana kumjibu huyo barcelona na manchester united wapi na wap kwani ligi zimeungana mkuu?
Sent from my iPhone using Tapatalk
Overconfidence imewaumbuaaa..Naona vijana wa Arsenane wamejaa sana humu
Mungu ni wetu sote hivyo kudhani kila siku tutawafunga ni kujidanganya. Pia kudhani kwamba OGS asingefungwa hata mechi moja ni kutojua soka.
By the way, United ataendelea kuwa United.
Tumefungwa. Imeuma. Maisha yanaendelea. Imagine wewe kwenye mechi 18 umefungwa mechi 2, kuna wenzako wametunguliwa mechi za kutosha tu.
In fact, siku ya jumatano asubuhi ningeambiwa nichague kuingia robo fainali ya UCL na kufungwa na Arsenane ningechagua hili la pili.
Kiufupi hatukucheza vibaya, japo makosa madogo madogo yametufanya tupoteze mechi.
Hatukutumia nafasi tulizopata kwa ufasaha lakini pia tumefungwa goli ambazo kwa mtazamo wangu zingeweza kuzuilika. HAMNA HAJA YA KUNYOOSHEANA VIDOLE, HUWEZI KUSHINDA MECHI ZOTE.
Arsenane hongera yao kwa kupunguza uteja, leo wamesogeza, walikuwa wametufunga mara 82, leo wamefikisha mara ya 83. United amebaki kuwa amewafunga karne kasoro 1 yani mara 99
United yupo kwenye mbio za top 4, yupo robo fainali ya FA, yupo robo fainali ya UCL, kwanini wewe shabiki wa United ukose usingizi
Sent using Jamii Forums mobile app
So umeamua kututukana?We will continue to be in cityzen's shadow forever kama tutaendelea kuwa na mashabiki dickheads kama wanao amini kuwa haka kakocha katatufikisha popote
Sent using Jamii Forums mobile app